Kwa kauli hii huyu Vixen aliyefanya video ya 'Nitafanyaje" ya Diamond ajitafakari sana. Hizi standards anamletea nani?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Wakati napiga round mbili tatu huko mtandaoni nimekutana na clip ya video vixen aliyefanya video ya Nitafanyaje ya Diamond.

Akiwa kwenye interview, huyu Vixen anasema kuwa sasa hivi hataki kufanya video na wasanii wa chini amejikita kufanya kazi na kina davido na wapopo.

Ukienda kwenye IG yake ana followers 7k na hakuna mtu yeyote aliyekuwa anamjua.

Kwa kauli hii maana yake hata Ibraah au Jaivah akimfata kwa ajili ya kufanya video hatokubali kwa sababu sio wasanii wa hadhi yake.

Ni suala la muda tu ataanza kutoa milion huyu.

View attachment 3231764

View attachment 3231767
'They said and so they became', there is nothing impossible under the sun. Kama ndiyo malengo yake apambane kuweka mikakati ya kuyawezesha.
 
Haikuhusu
1738852660847.jpg
 
Back
Top Bottom