GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hii Kauli au huu Msemo 'Wapumbavu' wengi wa mfano wako mmeupokea vibaya sana. Na nilijua kungetokea tu 'Popoma' Mmoja 'angeuleta' hapa.Managers/coaches are hired to be fired. Nothing new
“Sichezeshi wachezaji 11 bora uwanjani nachezesha timu bora uwanjani. Sichezeshi jina wala staa, nachezesha timu ambayo italeta mafanikio na usishangae mchezaji mkubwa akawa anakaa benchi. Tunaangalia timu zaidi” Cedric Kaze'
HabariLeo na Mwanaspoti
Kama kuna Kosa ambalo huyu Kocha Mburundi Cedric Kaze kafanya ni kukubali Kuifundisha Yanga SC kwani inaenda Kumfukuza Siku si nyingi tu.
Naona foma na omo imeenea kwenye maji....ila ukweli utabaki hivyo....wanaajiriwa na kufukuzwa.Hii Kauli au huu Msemo 'Wapumbavu' wengi wa mfano wako mmeupokea vibaya mno. Na nilijua tu kungetokea 'Mpumbavu' Mmoja angeuleta hapa.
Mwaisela na Kibasila zote ni Muhimbili tu.Sio Mburundi ni Mrundi
Nauona muendelezo wako tu wa 'Upumbavu' ulionao na 'unaokusumbua' huenda baada ya 'Kurithishwa' kutoka kwa 'waliokutafuta' sana Kitandani.Naona foma na omo imeenea kwenye maji....ila ukweli utabaki hivyo....wanaajiriwa na kufukuzwa.
Narudia tena, haitashangaza kama akifukuzwa.....huo ndio utaratibu....Nauona muendelezo wako tu wa 'Upumbavu' ulionao na 'unaokusumbua' huenda baada ya 'Kurithishwa' kutoka kwa 'waliokutafuta' sana Kitandani.
Wapi tena hapo wangu?GENTAMYCINE nakuona jinsi unaelekea kunibananisha mahali 😂😂😂😂😂😂 me staki ujue
Kwa Kauli zake hizi akidumu TU hapo Yanga SC ambako kumejaa Majungu, Umbea, fitina na Visununu vingi Miezi Sita tu Mimi siyo GENTAMYCINE.Tunahitaji Ushindi, Tunahitaji kuahinda Taji, hautahiji maneno kama ya Kusuku. Nadhani Cedríc Kaze aambiwe sie ni Waswahili zaidi yake hayo maneno yake yaishie huko Uwanja wa Ndege
Kwahiyo ulitaka alivyopewa nafasi ya kuongea, angekaa kimya pasipo kuongea chochote?Tunahitaji Ushindi, Tunahitaji kuahinda Taji, hautahiji maneno kama ya Kusuku. Nadhani Cedríc Kaze aambiwe sie ni Waswahili zaidi yake hayo maneno yake yaishie huko Uwanja wa Ndege