Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

Friends and Our Enemies...

Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'

Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.

Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.

Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.

Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.

Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.

Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.

Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.

Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.

Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.

Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
Kanisa la Roman Catholic ni Taasisi kubwa sana duniani, Ina mpaka spy schools zao ukiingia kichwa kichwa kinakuramba
 
Wewe achana na wakatoliki ,pambana gesi isitoke mtwara!
Mwaka 2013 niko Mtwara, walichoma nyumba ya mzee wangu moto hao.Nawakumbuka sana kwa unyama waliufanya kusini. Unashuhudia mtu kavaa uniform ya polisi/ jeshi anachoma nyumba ya mwananchi wake moto hata maduka. Wapo walipewa fidia na wngne hawakulamba hata tone. Ni kawaida kwa hii serikali kufanya mbinu hizo na wanakuja na suruhisho..sahizi ni hiyo tume ya uchunguzi,mara wizara ya vijana mara maridhiano hizo zote ni mbinu zakupunguza au kuondoa taharuki yoyote waliyosababisha.
Hitimisho hawa jamaa kwa mizizi wamekita sidhani kama wataondoka leo au kesho maana bila nguvu na kumalizana tusahau watatawala mpaka wajukuu zetu kama tu tukio la Oct29 linaonekana zuri,lakupongezwa kulindwa na lakuendelezwa!
 
Sisiemu ni janga la taifa ,oct29 ndiyo ilikuwa siku ya kuwaondoa WAHUNI madarakani sema ndiyo hivyo wamefanya UNYAMA kubakia ila damu za watu hazipotei bure ,hawatakuwa salama.
 
Whataver way they use as a qualification to get such a goddamned thing it just pathetic and doesnt make any sense to me or to any intellectual human being.

Kigezo cha kwanza cha mtu kuwa padre ni kutokuwa na akili,nasema hivyo kwa sababu mtu mwenye akili timamu atakubali vipi kujikana na kuikana nature yake ya maumbile maisha yake yote eti aishi bila kushiriki mapenzi ili hali yeye ni rijali na ili hali anajua fika jambo hilo haliwezekani,na akakubali kisha akaendelea kuishi kwa kuumia na kuongopa watu??

Dini gani ya mungu ambayo itamfanya mwanadamu aishi kwa kukiuka misingi ya uumbaji??

Sasa tunatarajia mtu mwenye shule awe na reasoning capacity ya kuchallange.
Mkuu hii ni dini pekee iliyojenga hospitali kubwa hapa nchini. Pia vyuo na mshule mazuri hapa nchini. Na ni dini ambayo viongozi wake wanaongea lugha kuanzia tatu za kimataifa kuendelea. Ni dini ambayo viongozi wote wamepiga shule. Kama kuna dini iliyofanya makubwa hapa Tanzania zaidi ya wakatoliki nitajie.
 
Mtu mwenye uwezo mkubea na msomi kama Fr. Kitima, kuelwa mantiki ya anachokiongea, ni lazima msikilizaji awe na akili timamu, asiwe punguani kama wewe au mleta mada.
Wote wanaompinga kitima, ni wale ambao kiakili, elimu na maarifa, hawamfikii Fr Kitima hata kwa 10%.
Kama kila akiongea Anatoa makapi, hana faida yoyote kwa Jamii.
Ni aibu kwa vyeti alivyo navyo na muda aliotumia kutafuta vyeti ivyo.
 
Soma uelewe kisha uje uzungumze

Kanisa ni miongoni mwa agents of colonialism Afrika wakiwa na gwanda la missionaries wakiwa sambamba na traders and explorers....

Kitu kisicho na haki hakidumu
una mentality ya kikobazi, mdini mkubwa we, achaga propaganda za kipuuzi
 
Kama kila akiongea Anatoa makapi, hana faida yoyote kwa Jamii.
Ni aibu kwa vyeti alivyo navyo na muda aliotumia kutafuta vyeti ivyo.

Kwa ufupi kitima hana weledi wowote wa kitaaluma.
Na ushahid katika hilo ni suala lake la kuvaa magauni ili hali anajua fika kuwa yeye ni mtoto wa kiume
 
Friends and Our Enemies...

Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'

Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.

Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.

Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.

Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.

Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.

Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.

Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.

Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.

Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.

Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
Wewe na makobazi wenzio mtaendelea na kelele lakini hazitawasaidia mafala nyiye.
 
Kwa sababu wewe ni fala, unaamini kuna wengine walio kama wewe. Usijipe matumaini yasiyokuwepo, kuamini kuna mafala wengi. Fala ni wewe pekee uliyesalia!!

MoU za hospitali za makanisa, ni matokeo ya maombi ya Serikali kutaka hospitali za makanisa, zitoe huduma za matibabu kwa taratibu na gharama sawa kama hospitali za Serikali.
Sijui ni kusaidie vipi! maana inaonekana hujitambui kabisa! Swali dogo:
Muhimbili ni hospitali ya Kanisa au ya Serikali?
Ukienda kutibiwa Muhimbili, unatibiwa bure au unalipia?
Kama unalipia, kwa nini unalipia wakati ni hospitali ya Serikali?

NB: Kama huna jibu, tambua kuwa gharama kwenye hospitali zote nchini, za Serikali na za kanisa, gharama siyo halisia, ni subsidized cost. Unacholipia wewe ni mchango wa kuchangia gharama, siyo kulipia gharama halisi. Hata ukienda kwenye hospitali hizo za kanisa, hulipii gharama halisi, sehemu ya gharama halisi imelipwa kupitia hiyo MoU unayoipigia kelele kila siku. Inawezekana wewe ni kunguru uliyefungiwa kwenye kiota, ungekuwa unasafiri ungejua kiurahisi ninachokizungumza. Nilienda nchi jirani ambako gharama za matibabu hazijawa subsidized kama hapa kwetu, kumwona tu Dr, nililipa equivalent to TZS98,000. Halafu wewe ukienda kwenye hospitali ya kanisa, ukiambiwa lipia TZS 10,000 kumwona Dr, unasema umelipia gharama wakati kuna pesa ya MoU!!! Tambua kuwa Serikali kupitia MoU imesaidia kukulipia approximately TZS 80,000n halafu wewe umetoa hako kama elfu 10 kako. Ikifutwa hiyo MoU, ukiambiwa hata kulipia TZS 50,000 kelele zitakuwa usiku kucha mchana kutwa!

Huu ni mwaka mpya, kwa sababu huelewi hata haya mambo ambayo ni very basic, nakushauri mwaka huu, badili jina jiite BIG FOOL, ili kila anayejibishana nawe ajue wewe ni mtu wa namna gani, na unahitaji msaada wa namna gani. Hiyo itakusaidia kupunguza ujinga.

Umeandika vingi lakini havina maana.

Huduma unazosema ziko subsidized na MOU ni sehemu tuh ya gharama siyo kweli.

Infact kanisa linavuna fedha nyingi kiasi kwamba hiyo MOU ikivunjika kanisa linacollapse katika kutoa hizo huduma

Kwa taarifa yako MOU inacover hadi gharama za kulipa mishahara wafanyakazi wa kanisa sembuse tuh kuhudumia na kutoa dawa.

Na hilo ni kwa sababu kanisa hospital nyingi hawakujenga wao walirithi kutoka kwa wale agents of colonialism i.e missionaries sisi kule kwetu umakondeni tunawaita wamisheni

Hizo ndanda,peramiho,nyangao na kadhalika zote zimejengwa na mkoloni,kanisa hakuwa na uwezo wa kuziendesha ndiyo kwa maana anadandia mgongo wa serikali.
 
Wewe na makobazi wenzio mtaendelea na kelele lakini hazitawasaidia mafala nyiye.
Mafala ni nyinyi ambao mlidhani kwa kuhamasishwa na kanisa mje mfanye vurugu siku ya uchaguzi eti mnaweza kupindua nchi na kumweka mwanakondoo mwenzenu

Kilichowapata hamtakuja kusahau maishani mwenu kenge nyinyi
 
Loh! Kumbe Mud alikuwa mbakaji? Kwa huzi sheria zetu za sasa, huyu angewekwa je⁴la miaka mingapi? Siku zote kiongozi huonesha njia ili wafuasi wake waige na kumfuata. Sasa kwa Mud, ina maana aliwafundisha waislam kuwa wabakaji?

Maria mtakatifu alipata mimba ya yesu akiwa under age tena chini ya miaka 12 unalijua hilo??

Sasa jiulize alianza lini mambo hayo

During those days girls walikuwa engaged before marriage then wanaolewa muda ukifika

Hata injili yenyewe kuisoma hamtaki makafiri mnapelekwa tuh kama mbuzi.
 
Sasa hutaki kuwa kanisa katoliki lilikuja kama agent of colonialism as missionaries??
ungeeleweka ila tatizo lako ni uislam wako. Ungekuwa ni mliberali hoja yako ingekuwa na mashiko ila we ni mhafidhina wa kiislam
 
Sasa hutaki kuwa kanisa katoliki lilikuja kama agent of colonialism as missionaries??
ungeeleweka ila tatizo lako ni uislam wako. Ungekuwa ni mliberali hoja yako ingekuwa na mashiko ila we ni mhafidhina wa kiislam
 
Sasa hutaki kuwa kanisa katoliki lilikuja kama agent of colonialism as missionaries??
ungeeleweka ila tatizo lako ni uislam wako. Ungekuwa ni mliberali hoja yako ingekuwa na mashiko ila we ni mhafidhina wa kiislam
 
Sasa hutaki kuwa kanisa katoliki lilikuja kama agent of colonialism as missionaries??
ungeeleweka ila tatizo lako ni uislam wako. Ungekuwa ni mliberali hoja yako ingekuwa na mashiko ila we ni mhafidhina wa kiislam
 
Mkuu hii ni dini pekee iliyojenga hospitali kubwa hapa nchini. Pia vyuo na mshule mazuri hapa nchini. Na ni dini ambayo viongozi wake wanaongea lugha kuanzia tatu za kimataifa kuendelea. Ni dini ambayo viongozi wote wamepiga shule. Kama kuna dini iliyofanya makubwa hapa Tanzania zaidi ya wakatoliki nitajie.

Kanisa halikujenga most of hospitals kama unavyosema.

Kanisa lilirithi kutoka kwa mabwana zao wakoloni

Baada ya uhuru ndipo wakaendeleza

Peramiho,ndanda,nyangao na kadhalika ni mfano wa hospitals zimerithiwa kutoka.kwa wamisheni na hata hapo zamani zilikua zinaendeshwa na wao kwa madhumuni ya kuwatibu wazungu na baadhi ya waafrika ambao walikuwa ni wafanya kazi wao,haikuwa kwa.maslahi ya watu weusi kama unavyojigamba na kuwa proud.

Pili kusoma siyo kuzungumza lugha,lugha hata mtu ambae hana shule.anaweza jifunza lugha za kimataifa hata mia na kuendelea

Zinduka kutoka kwenye ujinga
 
ungeeleweka ila tatizo lako ni uislam wako. Ungekuwa ni mliberali hoja yako ingekuwa na mashiko ila we ni mhafidhina wa kiislam

Kanisa lilikuja kama agent wa ukoloni

Na ndiyo maana unaitwa ambokile john...

Hiyo john ni mkoloni ambae wewe lazima ubatizwe ndiyo upate hilo jina,sasa unachokataa kitu gani?
 
Mafala ni nyinyi ambao mlidhani kwa kuhamasishwa na kanisa mje mfanye vurugu siku ya uchaguzi eti mnaweza kupindua nchi na kumweka mwanakondoo mwenzenu

Kilichowapata hamtakuja kusahau maishani mwenu kenge nyinyi
Tunakujua wewe ni mpumbavu na ndugu ya Samia kichwa cha mbuzi. Kwa hiyo sikujibu tena, Ndiyo kanisa linaona uonevu unataka linyamaze, mbona akina Ali Kibao wameuawa.....Hawa siyo waislaam? Mmenyamaza kimya mnaogopa hadi kanisa liwasemee? Haya kifo ni kifo kama alivyosema hicho kitumbo, mcheza taarabu na mipasho.......anaendelea kuondoa maisha ya wananchi wakiwemo waislaam wengi tu, lakini nyie mmezoea kuua mnaona kawaida tu. Mkiendelea kuuawa, kanisa litaendelea kuwatetea, maana hamna mnachoweza.....Kwani huyo mama mwenye kichwa kama cha mbuzi alishinda? Uchaguzi yeye mgombea pekee lakini alishindwa.....sijawahi ona mtu aliye na IQ ndogo kama huyo rais fake.
 
Back
Top Bottom