Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

Soma uelewe kisha uje uzungumze

Kanisa ni miongoni mwa agents of colonialism Afrika wakiwa na gwanda la missionaries wakiwa sambamba na traders and explorers....

Kitu kisicho na haki hakidumu
Duuu, bado una uisilamu wa kiazamani ile mbaya. Huo uisilamu wa kuona wakristu wanapendelewa ulikuwa wa zamani mno.
 
Friends and Our Enemies...

Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'

Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.

Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.

Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.

Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.

Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.

Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.

Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.

Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.

Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.

Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
Kunabjamaa hapa ameniuliza wewe pia unazunguza ukiwa na kofia ngapi
 
mkuu huyo ni la 7B Elimu ya hapa na pale madrasa ....anatoa wapi CV huyo lofa wa samuya
Unakaa kumsikiliza kitima mtu ambae hana hata uwezo wa kuhudumia familia anaishi kwa kulishwa na sadaka una akili kweli wewe??
 
Duuu, bado una uisilamu wa kiazamani ile mbaya. Huo uisilamu wa kuona wakristu wanapendelewa ulikuwa wa zamani mno.

Ukristo kupendelewa ni jadi yao

Toka enzi za ukoloni walidumazwa na kujiona wao ni first class kumbe hawana lolote.
 
Hiyo avatar yako inadhihirisha ulivyo:Kubwa jinga!Hakuna siku nilikuwa disappointed kama siku ile Rey Mysterio alipomshinda
Hapana unamvunjia Heshima, kwa hapo unakosea huyu sio Kubwa Jinga ila Jinga Kubwa
 
Friends and Our Enemies...

Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything'

Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa.

Kitima who are you??hadi ufikie leo uje kusimama na kusema eti wewe ukisimama na kuzungumza basi tujue unazungumza bila kukurupuka na kwamba wewe ni msomi siyo tuh wa canon laws bali pia umesomea hadi sharia laws kutoka kwa mwalimu wako lebanon kisha ukasomea consitution laws na umefundisha watu wengi maarufu hapo SAUT.

Ameendelea kusema kwamba yeye anazungumza akiwa na kofia nyingi za kitaaluma ikiwa ni pamoja na haki za binadamu,anajitamba kuwa yeye kama mtu wa kanisa ni msomi na anasimamia kauli zake za kanisa kisomi.

Tunataka tumweleze kitima,msomi anatambulika once akifungua kinywa chake na kuanza kuzungumza tuh yale yanayoakisi usomi wake na si vinginevyo.

Hata uwe na tuzo za shahada nyingi kiasi gani lakini unaposimama na kuzungumza pumba kwa kutumia backup ya vyeti vyako haviwezi kutupa sisi uwanja wa kukupa heshima ya huo usomi unaojinasibu nao.

Kitima vua magauni kisha vaa magwanda uingie ulingoni tuicheze hii ngoma vizuri,haiwezekani leo wewe usimame na gauni lako huku ukijiita ni mwanaharakati wa haki za binadamu huku unatembea na slogani za tumsifu yesu kristo milele amina na kusema maria mtakatifu ni mama wa mungu then ukijibiwa ukimbilie mwamvuli wa kanisa kujikinga nao,hilo halipo.

Unachotakiwa kutambua kitima na hilo kanisa linalokutuma hizo zama za biashara ya utumwa zilishapita muda mrefu na kamwe hatuwezi zirudia.

Kila upenyo unaoutafuta kupenyeza chuki na drama ili wananchi waichukie serikali na kutaka kulifany kanisa victim utabainika tuh na zaidi zaidi utazidi kulidhalilisha kanisa na waumini wako.

Leave the police work to the police kama vile ambavyo police wanaiacha kazi ya wavaa magauni kwenu nyinyi wavaa magauni.

Tanzania ni nchi yetu tunaipenda na tutailinda kwa wivu mkubwa.
Uzuri credibility ya Catholism kwenye haki sio hapa Tanzania tu...
Nchi kama Philipines yenye wakristo over 90% catholism ilisimamia kile wengine wote waliogopa, kusema kweli!

Kosa la kitima kusema watu waliuliwa na due diligence ifanyike ni lipi?

1.Ametukana mtu?
2.Kavunja sheria ipi?
3.Kapotez uzalendo upi?
4.Hakuna jambo la kujifunza kwake?

Ushabiki wa vyama na watu unalirudisha taifa nyuma sana!
 
Ukristo kupendelewa ni jadi yao

Toka enzi za ukoloni walidumazwa na kujiona wao ni first class kumbe hawana lolote.
Hata kuotesha miti kuzunguka makanisa yao ni kupendelewa? Waisilamu otesheni kwanza miti kuzunguka nyumba zenu za ibada, kisha muingie kwenye mengine makubwa.
 
Soma uelewe kisha uje uzungumze

Kanisa ni miongoni mwa agents of colonialism Afrika wakiwa na gwanda la missionaries wakiwa sambamba na traders and explorers....

Kitu kisicho na haki hakidumu
Kitima siyo Kanisa katoliki.Hata Papa akiharibu haliwezi kuwa limeharibu kanisa nzima.
Halafu hujaeleza kuthibitisha usemi wa "sikio la kufa.." Badala yake umeshambulia tu Kitima.
 
Huo ni uoga na umbea tu, sasa hapa unatuandikia sis yanatuhusu?
Mfate kitima mwenyew ukamweleze uhalo wako.

Na nahs ukisikia jina au kauli za kitima uhalo unakubana ghafla. POLE YENU NA MPAKA MSEME
 
Kitima ni mhanga wa mashambulizi ya kudhuru mwili, mwezi May mwaka jana kuna mtu mtandaoni alisema siku zake zinahesabika na kweli siku chache zilizofuata Kitima akashambuliwa.

Leo ni miezi 8 , Kitima hajapata haki maana waliomshambulia hawajachukuliwa hatua hiyo ni motive tosha kuamini shambulizi lake likikua ni state sponsored.

Maana miezi 2 mbele Muliro alisema hawakuweza kumpata ili aandikishe maelezo sababu allikua hospital ila hadi leo ni miezi 8 na uchunguzi waliodai wanaendelea nao policcm hawajaleta majibu kama matukio mengine kama ya Mzee Kibao, Soka, Dioniz Kipanya, Mdude ambaye alishambuliwa siku moja mbele baada ya Kitima.

Hivyo wewe THE BIG SHOW FOOL unapokua unaongea kuhusu Kitima usitangulize ukasisi wake , muangalie Kitima kama ordinary citizen kwanza na mhanga wa shambulizi la kudhuru mwili na lililodhaminiwa na vibaka wa policcm na serikali yao na hadi leo hajapata haki yake hivyo acha aongee ni sehemu ya therapy.

Ndio maana hata Jiwe tulimkosoa kwa udikteta na ukatili wake na sio dini na hata huyo muuaji Samia nitamkosoa kwa uuaji wake bila dini sababu ukatili ni character ya mtu na hizi dini hazina uhusiano na mtu maana mtu anazaliwa bila dini ila character mtu huzaliwa nayo.
 
Kanisa haliwezi kumpenda samia hata angeimba kwaya

Huyo mnaesema padre kitima ni mshirika mkubwa wa chadema na hata kwenye vikao alikuwa anaingia
Sasa leo ana justification gani ya kukosoa serikali ili hali yeye ni.malaya kwenye kuzungumza??

Mara leo anazungumza akiwa kwenye vyumba vya chadema na kesho utamkuta anazungumza akiwa amevaa gauni na wenzake


Hana akili ni mpumbavu mmoja hivi
'THE BIG TRASH', kawaida yangu ni kuwa huwa sina muda na na takataka hizi ambazo wewe hujihusisha nazo; kwa sababu najuwa wewe ni nguruwe tu unayependa kuchezea kwenye tope na taka za aina hiyo.

Leo nimefanya 'exception' kwa vile naona Samia katupatia fursa ya kipekee kujuwa hatari kubwa inayoikabili nchi hii. Jihadists ambao wengi wamekuwa wakijifichaficha, sasa wamejifunua wazi ili tuwajue. Kwa hiyo, kwa upande huo, Samia bila ya kutarajia kafanya msaada kwa taifa hili.

Kuhusu huyo Father Kitima, juhudi zenu za kumwondoa uhai bila shaka zinaendelea; na kama yeye mwenyewe na wenzake ndani ya kanisa hilo hawaelewi hatari inayowakabili na kuweka tahadhari stahiki kujikinga, watakuwa ni miongoni mwa watu wapuuzi kuwahi kutokea.

Samia ni "MHALIFU" na akama ilivyo kawaida ya wajhalifu wote, njia pekee iliyopo ni kumwajibisha kwa uhalifu wake.

Sitapoteza muda tena kujibu takataka zako.
 
Tutailinda nchi hii kwa wivu mkubwa against kila aina za ***** ***** zitazojitokeza.
Umeshindwa kulinda mkundv wako huo kwa wivu ,upo hapa kuandika use ng€ kwa posho ya buku mbili na kufirwa na ***** Abduli kila siku .Mbwa taka taka wewe
 
Kanisa halikujenga most of hospitals kama unavyosema.

Kanisa lilirithi kutoka kwa mabwana zao wakoloni

Baada ya uhuru ndipo wakaendeleza

Peramiho,ndanda,nyangao na kadhalika ni mfano wa hospitals zimerithiwa kutoka.kwa wamisheni na hata hapo zamani zilikua zinaendeshwa na wao kwa madhumuni ya kuwatibu wazungu na baadhi ya waafrika ambao walikuwa ni wafanya kazi wao,haikuwa kwa.maslahi ya watu weusi kama unavyojigamba na kuwa proud.

Pili kusoma siyo kuzungumza lugha,lugha hata mtu ambae hana shule.anaweza jifunza lugha za kimataifa hata mia na kuendelea

Zinduka kutoka kwenye ujinga
Ndugu yangu sio kurithi tu hayo mahospitali ba vyuo vinaendeshwa na bajeti kutoka vatican. Naomba unitajia kanisa au taasisi nyingine yenye masgule, vyuo na mahositali hapa nchini ?
 
Kitima ni padre

Kitima ni mwanachama wa chadema

Kitima ni mpigania haki za wanadamu

Sasa tumwele kwa lipi mwehu huyu?
Hapo kwenye uanachama wa chadema; tupe ushahidi.
Pia msizime switch ya Jf mkikosa hoja, mnasumbua watu kutumia vpn
 
Ujinga ni pale kobaaz anamponda padri kuwa ni mvaa gauni ingali na yeye ni mvaaji wa hayo magauni.

Mmakonde achana na Dr. Kitima ile ni akili kubwa.
We nenda kabangue korosho ndo kitu pekee unaweza.
 
Hyo clip ndo umeiona leo? Mbona ni ya zamani kama miaka mitatu huko nyuma.
Inaonekana Fr Kitima anakutesa sana
Nenda kampelekee Hilo donati lako chafu alishughulikie.
NB hiki ******* chenye chuki na wakatoliki dawa yake ni kukignore.
 
Back
Top Bottom