B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
BOra ukapiganie maisha yako kuliko kupeleka mwili wako katika sehemu ambayo tayar wana matokeo yaoMimi nitaamka saa 11 asubuhi kula keki yangu hadi saa 1jioni
Nabaki na kura yangu nyumbani NO REFORMS NO ELECTIONKwa kauli zenye kujirudia kwa miaka na miaka kutoka kwa viongozi wa CCM kuwa hata wasipo pigiwa kura hawa stuki watashinda tu.
Lazima ujiulize.
1. Unajikuta unaona kuna maana gani ya mimi kwenda kupiga kura..?
2. Kama mshindi anajulikana kwanini nikapige kura..?
3. Wanaopata kuongoza ni wale wale na kero zile zile na hawatujali wananchi katika kuamua sasa kwanini nikapige kura yangu..?
4. Niache kutafuta ugali wangu niende kupoteza muda kwenye uchafuzi ambao matokeo yapo tayari..?
Si kwamba wananchi hawapendi kupiga kura la hasha wanapenda saana ila mfumo wa kuipa CCM nguvu ya kushinda hata wakilala hapana kwa kweli.
Nilazima mabadiliko yafanyike ili tuweze kudhamini maamuzi ya wananchi na kuongeza uwajibikaji na ulindwaji wa Rasilimali za nchi na kuandaa kesho bora zaidi ya hapa. Inasikitisha tuna miaka 63 ya uhuru ila kero zile zile.
1. Kipindupindu
2. Shule hazina madawati kila mwaka huu wimbo
3. Vituo vya afya dawa hakuna kila mwaka why
4. Shule zimechakaa kila mwaka.
Haya ni mambo ambayo haitakiwi mwanasiasa aje ajisifie hata akiyatatua kwa maana ni vitu vishakua vya kawaida na vyenye kuhitaji maboresho kila mwaka.
Suluhisho kwa mtazamo wangu
1. Tufanye REFORMS(MABADILIKO CHANJA) ndio tukapige KURA.
2. Tutengeneza taifa lenye kukosoana kwa uwazi na lenye viongozi wawazi na waadilifu pasipo kutetea chama zaidi ya taifa letu. Hili litawezekana tukuweka katiba mpya na kufanya REFORMS
3. Tuepuke uongozi wa kichawa. Yaani uongozi wa trending. Uongozi wa namna kama hii huwa na madhaifu mengi maana kwao kukosolewa ni dhambi wanachotaka ni kusifiwa tu tu.
4. Wananchi wajue haki zao na wapewe elimu kamili katika kutambua sheria za nchi na maana ya mabadiliko na uhusika wao katika kuchagua viongozi wawatao na sio viongozi wanaojimilikisha hili taifa.
Angalia hii kauli ya aliye kuwa spika wa Bunge View attachment 3382814
Nitaungana na baba askofu katika kauli yake alisemaga bora ubaki na kura yako tu maana ukisha iweka tu pale kwenye sanduku la kura basi imeibwa hiyooView attachment 3382816
Mods huu uzi msiunganishe na uzi wowote ule. Wala msiufute
Wakuu kwa kauli zoote za hovyo za viongozi wa ccm na namna ya kujisifia kuiba kura tuziweke himu.
Namalizia kwa kusema hivi
NO REFORMS NO ELECTION
NRNENabaki na kura yangu nyumbani NO REFORMS NO ELECTION
NRNETuchapane na kuuana ndiyo tutaheshimiana.
Kweli mkuu. Tuzidi kuwaelimisha na wengine nchi yetu inahitaji REFORMSNi ujinga mkubwa kupiga kura ambayo unajua fika haitaheshimiwa.
Gentleman,Kwa kauli zenye kujirudia kwa miaka na miaka kutoka kwa viongozi wa CCM kuwa hata wasipo pigiwa kura hawa stuki watashinda tu.
Lazima ujiulize.
1. Unajikuta unaona kuna maana gani ya mimi kwenda kupiga kura..?
2. Kama mshindi anajulikana kwanini nikapige kura..?
3. Wanaopata kuongoza ni wale wale na kero zile zile na hawatujali wananchi katika kuamua sasa kwanini nikapige kura yangu..?
4. Niache kutafuta ugali wangu niende kupoteza muda kwenye uchafuzi ambao matokeo yapo tayari..?
Si kwamba wananchi hawapendi kupiga kura la hasha wanapenda saana ila mfumo wa kuipa CCM nguvu ya kushinda hata wakilala hapana kwa kweli.
Nilazima mabadiliko yafanyike ili tuweze kudhamini maamuzi ya wananchi na kuongeza uwajibikaji na ulindwaji wa Rasilimali za nchi na kuandaa kesho bora zaidi ya hapa. Inasikitisha tuna miaka 63 ya uhuru ila kero zile zile.
1. Kipindupindu
2. Shule hazina madawati kila mwaka huu wimbo
3. Vituo vya afya dawa hakuna kila mwaka why
4. Shule zimechakaa kila mwaka.
Haya ni mambo ambayo haitakiwi mwanasiasa aje ajisifie hata akiyatatua kwa maana ni vitu vishakua vya kawaida na vyenye kuhitaji maboresho kila mwaka.
Suluhisho kwa mtazamo wangu
1. Tufanye REFORMS(MABADILIKO CHANJA) ndio tukapige KURA.
2. Tutengeneza taifa lenye kukosoana kwa uwazi na lenye viongozi wawazi na waadilifu pasipo kutetea chama zaidi ya taifa letu. Hili litawezekana tukuweka katiba mpya na kufanya REFORMS
3. Tuepuke uongozi wa kichawa. Yaani uongozi wa trending. Uongozi wa namna kama hii huwa na madhaifu mengi maana kwao kukosolewa ni dhambi wanachotaka ni kusifiwa tu tu.
4. Wananchi wajue haki zao na wapewe elimu kamili katika kutambua sheria za nchi na maana ya mabadiliko na uhusika wao katika kuchagua viongozi wawatao na sio viongozi wanaojimilikisha hili taifa.
Angalia hii kauli ya aliye kuwa spika wa Bunge View attachment 3382814
Nitaungana na baba askofu katika kauli yake alisemaga bora ubaki na kura yako tu maana ukisha iweka tu pale kwenye sanduku la kura basi imeibwa hiyooView attachment 3382816
Mods huu uzi msiunganishe na uzi wowote ule. Wala msiufute
Wakuu kwa kauli zoote za hovyo za viongozi wa ccm na namna ya kujisifia kuiba kura tuziweke humu.
Namalizia kwa kusema hivi
NO REFORMS NO ELECTION
Mnaotaka kuchapana na kuuana mpo, mnasubiri nini sisi tunangoja kwa hamu hiyo vita.Tuchapane na kuuana ndiyo tutaheshimiana.
Mnaotaka kuchapana na kuuana mpo, mnasubiri nini sisi tunangoja kwa hamu hiyo vita.
Unawezakuta na kelele zote hizi unazotoa mwanao anasoma shule ya Serikali ya Kata! Ahahahahaha!!Kwa kauli zenye kujirudia kwa miaka na miaka kutoka kwa viongozi wa CCM kuwa hata wasipo pigiwa kura hawa stuki watashinda tu.
Lazima ujiulize.
1. Unajikuta unaona kuna maana gani ya mimi kwenda kupiga kura..?
2. Kama mshindi anajulikana kwanini nikapige kura..?
3. Wanaopata kuongoza ni wale wale na kero zile zile na hawatujali wananchi katika kuamua sasa kwanini nikapige kura yangu..?
4. Niache kutafuta ugali wangu niende kupoteza muda kwenye uchafuzi ambao matokeo yapo tayari..?
Si kwamba wananchi hawapendi kupiga kura la hasha wanapenda saana ila mfumo wa kuipa CCM nguvu ya kushinda hata wakilala hapana kwa kweli.
Nilazima mabadiliko yafanyike ili tuweze kudhamini maamuzi ya wananchi na kuongeza uwajibikaji na ulindwaji wa Rasilimali za nchi na kuandaa kesho bora zaidi ya hapa. Inasikitisha tuna miaka 63 ya uhuru ila kero zile zile.
1. Kipindupindu
2. Shule hazina madawati kila mwaka huu wimbo
3. Vituo vya afya dawa hakuna kila mwaka why
4. Shule zimechakaa kila mwaka.
Haya ni mambo ambayo haitakiwi mwanasiasa aje ajisifie hata akiyatatua kwa maana ni vitu vishakua vya kawaida na vyenye kuhitaji maboresho kila mwaka.
Suluhisho kwa mtazamo wangu
1. Tufanye REFORMS(MABADILIKO CHANJA) ndio tukapige KURA.
2. Tutengeneza taifa lenye kukosoana kwa uwazi na lenye viongozi wawazi na waadilifu pasipo kutetea chama zaidi ya taifa letu. Hili litawezekana tukuweka katiba mpya na kufanya REFORMS
3. Tuepuke uongozi wa kichawa. Yaani uongozi wa trending. Uongozi wa namna kama hii huwa na madhaifu mengi maana kwao kukosolewa ni dhambi wanachotaka ni kusifiwa tu tu.
4. Wananchi wajue haki zao na wapewe elimu kamili katika kutambua sheria za nchi na maana ya mabadiliko na uhusika wao katika kuchagua viongozi wawatao na sio viongozi wanaojimilikisha hili taifa.
Angalia hii kauli ya aliye kuwa spika wa Bunge View attachment 3382814
Nitaungana na baba askofu katika kauli yake alisemaga bora ubaki na kura yako tu maana ukisha iweka tu pale kwenye sanduku la kura basi imeibwa hiyooView attachment 3382816
Mods huu uzi msiunganishe na uzi wowote ule. Wala msiufute
Wakuu kwa kauli zoote za hovyo za viongozi wa ccm na namna ya kujisifia kuiba kura tuziweke humu.
Namalizia kwa kusema hivi
NO REFORMS NO ELECTION
Hapo ndo mnapofeli kuleta vitu feki. Ina maana cdm mmeshindwa hadi mpate mamluki toka ccm?
Mitano tena Kwa mamaaaaaaa
Dah,Kwa kauli zenye kujirudia kwa miaka na miaka kutoka kwa viongozi wa CCM kuwa hata wasipo pigiwa kura hawa stuki watashinda tu.
Wewe mwanao anayesoma EM si ndiyo hao hao hamjielewi taifa linapotea mnashangilia ujinga kwa sababu na nyie mpo kwenye chain ya kuiba?Unawezakuta na kelele zote hizi unazotoa mwanao anasoma shule ya Serikali ya Kata! Ahahahahaha!!
Mama yako kijijini Fimbilisi au mama gani?Mitano tena Kwa mamaaaaaaa
Mimi ni shabiki na mwanachama lialia wa CCM, wanangu wanasoma private schools na walio chuo kikuu hawana MIKOPO. Mikopo ni kwenu ninyi mnaoitukana Serikali lakini bado mnasomesha shule za serikali na ndio mnaokesha mkiomba watoto wenu wapate mikopo ya chuo kikuu! Nyambafu!!!!!!Wewe mwanao anayesoma EM si ndiyo hao hao hamjielewi taifa linapotea mnashangilia ujinga kwa sababu na nyie mpo kwenye chain ya kuiba?
Wezi wakubwa!