B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
- Thread starter
- #41
NRNEAiseeeeeee
Kwenda kupiga kura nchi hii ni upumbavu
OKTOBA TUNATIKI SAMIA, we bwege huna ht kichinjio we baki kulalamika humuKwa kauli zenye kujirudia kwa miaka na miaka kutoka kwa viongozi wa CCM kuwa hata wasipo pigiwa kura hawa stuki watashinda tu.
Lazima ujiulize.
1. Unajikuta unaona kuna maana gani ya mimi kwenda kupiga kura..?
2. Kama mshindi anajulikana kwanini nikapige kura..?
3. Wanaopata kuongoza ni wale wale na kero zile zile na hawatujali wananchi katika kuamua sasa kwanini nikapige kura yangu..?
4. Niache kutafuta ugali wangu niende kupoteza muda kwenye uchafuzi ambao matokeo yapo tayari..?
Si kwamba wananchi hawapendi kupiga kura la hasha wanapenda saana ila mfumo wa kuipa CCM nguvu ya kushinda hata wakilala hapana kwa kweli.
Nilazima mabadiliko yafanyike ili tuweze kudhamini maamuzi ya wananchi na kuongeza uwajibikaji na ulindwaji wa Rasilimali za nchi na kuandaa kesho bora zaidi ya hapa. Inasikitisha tuna miaka 63 ya uhuru ila kero zile zile.
1. Kipindupindu
2. Shule hazina madawati kila mwaka huu wimbo
3. Vituo vya afya dawa hakuna kila mwaka why
4. Shule zimechakaa kila mwaka.
Haya ni mambo ambayo haitakiwi mwanasiasa aje ajisifie hata akiyatatua kwa maana ni vitu vishakua vya kawaida na vyenye kuhitaji maboresho kila mwaka.
Suluhisho kwa mtazamo wangu
1. Tufanye REFORMS(MABADILIKO CHANJA) ndio tukapige KURA.
2. Tutengeneza taifa lenye kukosoana kwa uwazi na lenye viongozi wawazi na waadilifu pasipo kutetea chama zaidi ya taifa letu. Hili litawezekana tukuweka katiba mpya na kufanya REFORMS
3. Tuepuke uongozi wa kichawa. Yaani uongozi wa trending. Uongozi wa namna kama hii huwa na madhaifu mengi maana kwao kukosolewa ni dhambi wanachotaka ni kusifiwa tu tu.
4. Wananchi wajue haki zao na wapewe elimu kamili katika kutambua sheria za nchi na maana ya mabadiliko na uhusika wao katika kuchagua viongozi wawatao na sio viongozi wanaojimilikisha hili taifa.
Angalia hii kauli ya aliye kuwa spika wa Bunge View attachment 3382814
Nitaungana na baba askofu katika kauli yake alisemaga bora ubaki na kura yako tu maana ukisha iweka tu pale kwenye sanduku la kura basi imeibwa hiyooView attachment 3382816
Mods huu uzi msiunganishe na uzi wowote ule. Wala msiufute
Wakuu kwa kauli zoote za hovyo za viongozi wa ccm na namna ya kujisifia kuiba kura tuziweke humu.
Namalizia kwa kusema hivi
NO REFORMS NO ELECTION
Nyie nyumbu kwanza hamkujiandikisha na lichama lenu limeshajiondoa mtaendelea kuongozwa penda msipendeBOra ukapiganie maisha yako kuliko kupeleka mwili wako katika sehemu ambayo tayar wana matokeo yao
Uuane na nani, kajiue km una hamu ya kufa, shetani mkubwaTuchapane na kuuana ndiyo tutaheshimiana.
Huna kichinjio OKTOBA TUNATIKI SAMIANabaki na kura yangu nyumbani NO REFORMS NO ELECTION
Sk hz mtoto kusoma private school ni sifa?Mimi ni shabiki na mwanachama lialia wa CCM, wanangu wanasoma private schools na walio chuo kikuu hawana MIKOPO. Mikopo ni kwenu ninyi mnaoitukana Serikali lakini bado mnasomesha shule za serikali na ndio mnaokesha mkiomba watoto wenu wapate mikopo ya chuo kikuu! Nyambafu!!!!!!
Tikiti 👎Gentleman,
hayupo mwananchi Tanzania atalazimishwa au kubembelezwa kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba ya kupiga kura.
Ni vizuri kudumisha amani siku ya kupiga kura. Full stop.
Kwa maskini kama wewe na unayetegemea Serikali ikusaidie kusomesha watoto wako sio sifa.Sk hz mtoto kusoma private school ni sifa?
Sasa unataka haya Lisu ayapiganie na Heche sisi tukiwa tumelala?Kwa kauli zenye kujirudia kwa miaka na miaka kutoka kwa viongozi wa CCM kuwa hata wasipo pigiwa kura hawa stuki watashinda tu.
Lazima ujiulize.
1. Unajikuta unaona kuna maana gani ya mimi kwenda kupiga kura..?
2. Kama mshindi anajulikana kwanini nikapige kura..?
3. Wanaopata kuongoza ni wale wale na kero zile zile na hawatujali wananchi katika kuamua sasa kwanini nikapige kura yangu..?
4. Niache kutafuta ugali wangu niende kupoteza muda kwenye uchafuzi ambao matokeo yapo tayari..?
Si kwamba wananchi hawapendi kupiga kura la hasha wanapenda saana ila mfumo wa kuipa CCM nguvu ya kushinda hata wakilala hapana kwa kweli.
Nilazima mabadiliko yafanyike ili tuweze kudhamini maamuzi ya wananchi na kuongeza uwajibikaji na ulindwaji wa Rasilimali za nchi na kuandaa kesho bora zaidi ya hapa. Inasikitisha tuna miaka 63 ya uhuru ila kero zile zile.
1. Kipindupindu
2. Shule hazina madawati kila mwaka huu wimbo
3. Vituo vya afya dawa hakuna kila mwaka why
4. Shule zimechakaa kila mwaka.
Haya ni mambo ambayo haitakiwi mwanasiasa aje ajisifie hata akiyatatua kwa maana ni vitu vishakua vya kawaida na vyenye kuhitaji maboresho kila mwaka.
Suluhisho kwa mtazamo wangu
1. Tufanye REFORMS(MABADILIKO CHANJA) ndio tukapige KURA.
2. Tutengeneza taifa lenye kukosoana kwa uwazi na lenye viongozi wawazi na waadilifu pasipo kutetea chama zaidi ya taifa letu. Hili litawezekana tukuweka katiba mpya na kufanya REFORMS
3. Tuepuke uongozi wa kichawa. Yaani uongozi wa trending. Uongozi wa namna kama hii huwa na madhaifu mengi maana kwao kukosolewa ni dhambi wanachotaka ni kusifiwa tu tu.
4. Wananchi wajue haki zao na wapewe elimu kamili katika kutambua sheria za nchi na maana ya mabadiliko na uhusika wao katika kuchagua viongozi wawatao na sio viongozi wanaojimilikisha hili taifa.
Angalia hii kauli ya aliye kuwa spika wa Bunge View attachment 3382814
Nitaungana na baba askofu katika kauli yake alisemaga bora ubaki na kura yako tu maana ukisha iweka tu pale kwenye sanduku la kura basi imeibwa hiyooView attachment 3382816
Mods huu uzi msiunganishe na uzi wowote ule. Wala msiufute
Wakuu kwa kauli zoote za hovyo za viongozi wa ccm na namna ya kujisifia kuiba kura tuziweke humu.
Namalizia kwa kusema hivi
NO REFORMS NO ELECTION
Na ww pia huna uhalali wa kushawishi wengine wpige kuraWafuasi wa chadema nikama mmechanganyikiwa.Kama wewe hupigi kura au hautaki kushiriki uchaguzi huna uhalali wakushauri wengine wasishiriki kwasababu tu ya matakwa yako.Hayo mapungufu unayaona wewe ambeye uko upande wa yule anayewaza kushindwa.Kama ungekua unawaza kushinda ungeamasisha kuwe na uchaguzi mzuri ili mapungufu yatakayojitokeza uwe na nguvu yakuyazungumzia.Tofauti na hapo unapiga ramli usiyoijua na haiwezi kukusaidia kwasababu wenzako wenye mawazo yakupambania jambo kushind watajitokeza kupiga kura uku wewe ukibaki huna ulichobadilisha zaidi yakulalamika.
Mbona unasound kama vile CHADEMA haijwahi shiriki chaguzi na kuona hayo mapungufu inayodai yarekebishweWafuasi wa chadema nikama mmechanganyikiwa.Kama wewe hupigi kura au hautaki kushiriki uchaguzi huna uhalali wakushauri wengine wasishiriki kwasababu tu ya matakwa yako.Hayo mapungufu unayaona wewe ambeye uko upande wa yule anayewaza kushindwa.Kama ungekua unawaza kushinda ungeamasisha kuwe na uchaguzi mzuri ili mapungufu yatakayojitokeza uwe na nguvu yakuyazungumzia.Tofauti na hapo unapiga ramli usiyoijua na haiwezi kukusaidia kwasababu wenzako wenye mawazo yakupambania jambo kushind watajitokeza kupiga kura uku wewe ukibaki huna ulichobadilisha zaidi yakulalamika.
Kura mtapiga wenyewe hukomihemko na chuki zako dhidi ya ukweli vikusaide kua na makasiriko zaidi gentleman,
huna haja ya kuniarifu hiyo nonsense
Paruaneni mmekutana pipa na mfuniko mbogambogaSk hz mtoto kusoma private school ni sifa?