PreGE2025 Kwa kauli hizi unaendaje kupiga kura. Bora nikae na kura yangu tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kura mtapiga wenyewe huko

Ova
wakipiga waTZ wa3 tu nchi nzima inatosha sana,
mwenye kura nyingi kati yao atatangazwa mshindi kwa mujibu wa sheria na ataunda na kuongoza serikali kwa mujibu wa katiba gentleman.

so,
just relax tu hakuna haja ya kuweweseka, ama hujui maana ya the winner takes all.
 
Sina muda wa kupoteza na kukaa foleni npigwe juaa kupiga kura

Ova
 
Nyie nyumbu kwanza hamkujiandikisha na lichama lenu limeshajiondoa mtaendelea kuongozwa penda msipende
Nyumbu n kiumbe kisichokua na akili sasa hapa nani hana akili kati yavmm na ww. Kima wewe usiejua hata maana ya unayo andika
 
YOTE YATAONGELEKA MPAKA KUNYAMBA, LAKINI KWA MOYO WA DHATI KABISAA BILA KUSHINIKZWA NA MTU CCM NI MI 5 TENAAAAAAAAAAAAAAAAA KWA KISHINDO KIKUBWAAAAA! LKN KWAKUWA NI UHURU WA DEMOKRASIA HAKUNA ANAYEPINGWA KUONGELEA SIASA KWA MITAZAMO YAKE, ITOSHE KUSEMA KWAMBA MI 5 TENAAAAAAAAAAAAAAAAA KWA KISHINDO!
 
Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe 📌📌📌

#NOTED☝🏾
#Nabaki na kuraa yangu nyumbani. No Reforms No Election
 
Shekh Ponda na heshima tunazompa ati leo 2025 anatuambia tupige kura afu TUILINDE.

Anajitoa ufahamu kwamba watu walishalindaga hizo kura toka 1995 enzi za Nyatonga Mrema hadi 2020 enzi ya Mwendazake Magufuli wengine wakaishia vifo na wengime vilema wengine wakapoteaga hadi wa leo. Sasa hivi mnamwelewa huyu Shekh ?

No Reforms ndiyo njia pekee ya KULINDA KURA YAKO.

CDM wapo.sahihi 100% na tunakwenda nao Kaanani.
 
YOTE YATAONGELEKA MPAKA KUNYAMBA, LAKINI KWA MOYO WA DHATI KABISAA BILA KUSHINIKZWA NA MTU CCM NI MI 5 TENAAAAAAAAAAAAAAAAA KWA KISHINDO KIKUBWAAAAA! LKN KWAKUWA NI UHURU WA DEMOKRASIA HAKUNA ANAYEPINGWA KUONGELEA SIASA KWA MITAZAMO YAKE, ITOSHE KUSEMA KWAMBA MI 5 TENAAAAAAAAAAAAAAAAA KWA KISHINDO!
Deni la mama linasomeka ngapi..?
 
Shekh Ponda na heshima tunazompa ati leo 2025 anatuambia tupige kura afu TUILINDE.

Anajitoa ufahamu kwamba watu walishalindaga hizo kura toka 1995 enzi za Nyatonga Mrema hadi 2020 enzi ya Mwendazake Magufuli wengine wakaishia vifo na wengime vilema wengine wakapoteaga hadi wa leo. Sasa hivi mnamwelewa huyu Shekh ?

No Reforms ndiyo njia pekee ya KULINDA KURA YAKO.

CDM wapo.sahihi 100% na tunakwenda nao Kaanani.
Ukiona hivyo jua kashafika bei. Hivyo ameahidiwa namna flan apate kula pession zake.
Pia usifanye mipango na kobazi. Ndio maana Nyerere ali washit wapo simple kuendekeza udini
 
1000215210.jpg

Tujikumbushe tena leo ni alhamisi
 
1000216642.jpg

Kauli kama hii unaenda kupiga kura ili upoteze muda wako
Watanzania tukate hizi dharau kwa kupigania
NO REFORMS NO ELECTION
 
Back
Top Bottom