PreGE2025 Kwa kauli hizi unaendaje kupiga kura. Bora nikae na kura yangu tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unachoandika kinasadifu username yako, Mtoto wa Shule mtu ujiite mtoto wa shule bado ujue kwa usahihi unachokitamka?

Umejiuliza ndugu zako wangapi hawawasomeshi watoto zao PS?assuming una bima ya afya,umejiuliza ndugu zako wangapi umesafiri kuwazika just walikosa matibabu sahihi hospital kwa sababu ya sera mbovu za ccm?siyo kila anayeilaumu ccm ni maskini ni watu wenye maisha yao tena nje kabisa ya system ondoa wazo hilo kichwani anza kuwaza kwa upana wa maisha.
 
Wafuasi wa chadema nikama mmechanganyikiwa.Kama wewe hupigi kura au hautaki kushiriki uchaguzi huna uhalali wakushauri wengine wasishiriki kwasababu tu ya matakwa yako.Hayo mapungufu unayaona wewe ambeye uko upande wa yule anayewaza kushindwa.Kama ungekua unawaza kushinda ungeamasisha kuwe na uchaguzi mzuri ili mapungufu yatakayojitokeza uwe na nguvu yakuyazungumzia.Tofauti na hapo unapiga ramli usiyoijua na haiwezi kukusaidia kwasababu wenzako wenye mawazo yakupambania jambo kushind watajitokeza kupiga kura uku wewe ukibaki huna ulichobadilisha zaidi yakulalamika.
 
Gentleman,
hayupo mwananchi Tanzania atalazimishwa au kubembelezwa kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba ya kupiga kura.

Ni vizuri kudumisha amani siku ya kupiga kura. Full stop.
Wewe kima nimekulambisha ignore ila unaona nyuzi zangu trash kama ww ni heri baba yako siku aliyo weka mbegu kukuzaa angetoa nje round ile
 
HAKUNA ndugu yuko kama wewe. Kwa taarifa yako, Mimi ndio wa mwisho kwenye maisha katika ndugu zangu. Ndugu zangu wanasomesha watoto wao nje ya nchi. Nakusubiri unijibu.
 
Mimi na wewe alie changanyikiwa nani maana una lazimisha watu tufuate mawazo yako.fanya yako acha yangu.
NO REFORMS NO ELECTION
 
hakuna wananchi mwenye akili timamu atakosa kuweka alama ya vema mama yetu mpendwa akijaliwa kulifanya hilo october
 
Inabidi wakat wa uchaguzi liwekwe box kwa wale wasiotaka kupiga kura kisha tuoanishe na namba zitakazotolewa. Najua zitachakachulowa sana kuonesha watu wamepiga kura.
 
Wewe kima nimekulambisha ignore ila unaona nyuzi zangu trash kama ww ni heri baba yako siku aliyo weka mbegu kukuzaa angetoa nje round ile
mihemko na chuki zako dhidi ya ukweli vikusaide kua na makasiriko zaidi gentleman,

huna haja ya kuniarifu hiyo nonsense
 
NDIO MAANA TUNASEMA NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA PEKEE YA KURUDISHA IMANI YA WANANCHI KTK KUCHAGUA VIONGOZI.
 
Shida ni pale mkopo unaelekea kuzidi mapato ya nchi,hapa tunawazoom tuu,kuhudumia mkopo ni kipengele,deni ni utumwa wa kisasa
 
Inabidi wakat wa uchaguzi liwekwe box kwa wale wasiotaka kupiga kura kisha tuoanishe na namba zitakazotolewa. Najua zitachakachulowa sana kuonesha watu wamepiga kura.
Wataliiba na hilo. Unawajua vyema hawa watu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…