PreGE2025 Kwa kauli hizi unaendaje kupiga kura. Bora nikae na kura yangu tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
OKTOBA TUNATIKI SAMIA, we bwege huna ht kichinjio we baki kulalamika humu
 
Sk hz mtoto kusoma private school ni sifa?
 
Sasa unataka haya Lisu ayapiganie na Heche sisi tukiwa tumelala?
 
Na ww pia huna uhalali wa kushawishi wengine wpige kura
 
Mbona unasound kama vile CHADEMA haijwahi shiriki chaguzi na kuona hayo mapungufu inayodai yarekebishwe
uchaguzi tu wa serikali za mitaa shughuli pevu ,umezaliwa leo nini, bila shaka umechanganyikiwa kupita kiasi wahi milembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…