Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu chochote kisicho na timeframe ya utekelezaji ni kupoteza muda.Wewe uliwaamini CHADEMA?
Bora maandamanoWadau nimeshanganzwa sana na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya sheria na katiba.
Nilitarajia waziri huyu angekuwa bega kwa bega na wananchi wanaotaka katiba mpya kwani ni haki yao, kauli hii ya Waziri ni kauli ya Serikali na kama ni ya Serikali basi hata Rais anahusika.
Nipende kuchukua nafasi hii kuwataka viongozi wa CHADEMA waachane na maridhiano na CCM kwani kama waziri wa sheria anakuja na kauli hizi ni wazi CCM haina nia njema na katiba mpya.
Wananchi ndio wenye katiba wananchi walitoa maoni na mapendekezo yao kwa tume ya warioba jinsi wanavyotaka katiba yao iwe hao wabunge watakataaje katiba ya wananchi?
Waliokataa pendekezo la katiba ya warioba ni CCM na wabunge wake kwani hawataki katiba mpya, suala la katiba mpya kutokumaliza changamoto sio hoja kwani katiba iliyopo imemaliza au ndio imeongeza na kuleta changamoto?
Suala la changamoto lipo tu halikwepeki kwani hata Biblia na Quran zina changamoto.
CHADEMA maridhiano yenu na CCM hayana tija wenzenu hawataki katiba mpya.
View attachment 2597754View attachment 2597755
Wadau nimeshanganzwa sana na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya sheria na katiba.

Kama katiba ni takwa la wananchi na dola (the state) bas itapatikana!
Lakini kama ni takwa la serikali na chama bas wata spin hadi wachakachue watakavyo!
Si wanaccm makini tunasubiri kuona kama dola itakubali kubagazwa na wanaccm uchwara waitwao wahuni hadi katiba isipatikane!!!?
Tusubiri
Bora maandamano
Hata kwenye makalioYa kwenye keyboard au sio
Hata kwenye makalio
Wewe unakuwa umekaa wapi?Watu wa Facebook mnasema Tu maandamano wenyewe mkiwa mmetulia kwenye keyboard tu
Ona huyu!Wewe uliwaamini CHADEMA?
Aione Erythrocyte kwenye shajaraWadau nimeshanganzwa sana na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya sheria na katiba.
Nilitarajia waziri huyu angekuwa bega kwa bega na wananchi wanaotaka katiba mpya kwani ni haki yao, kauli hii ya Waziri ni kauli ya Serikali na kama ni ya Serikali basi hata Rais anahusika.
Nipende kuchukua nafasi hii kuwataka viongozi wa CHADEMA waachane na maridhiano na CCM kwani kama waziri wa sheria anakuja na kauli hizi ni wazi CCM haina nia njema na katiba mpya.
Wananchi ndio wenye katiba wananchi walitoa maoni na mapendekezo yao kwa tume ya warioba jinsi wanavyotaka katiba yao iwe hao wabunge watakataaje katiba ya wananchi?
Waliokataa pendekezo la katiba ya warioba ni CCM na wabunge wake kwani hawataki katiba mpya, suala la katiba mpya kutokumaliza changamoto sio hoja kwani katiba iliyopo imemaliza au ndio imeongeza na kuleta changamoto?
Suala la changamoto lipo tu halikwepeki kwani hata Biblia na Quran zina changamoto.
CHADEMA maridhiano yenu na CCM hayana tija wenzenu hawataki katiba mpya.
View attachment 2597754View attachment 2597755
Wewe unakuwa umekaa wapi?
Nakuheshimu sn dada anguUwe unasoma na umri wa kujiunga JF na upo jukwaa gani
Nenda kwenye jukwaa lako la udaku kule,
Shubamit
Wamekumbuka Posho za BMK!Ona huyu!
Kuna wakati zinaingia na kutokaWamekumbuka Posho za BMK!