Kwa kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, CHADEMA acheni maridhiano hakuna Katiba Mpya

CCM hawataki katiba mpya ili waendelee kutuibia, CAG mpaka atakosa karatasi za kutolea ripoti ya wizi wa maccm
 
Huyu Mama tumng'oe kwa maandamano ameshafeli na maridhiano yake ni ya kitapeli.
 
Mbowe pekee sio Upinzani huyu Mama lazima aelewe.

Katiba mpya ni ya Wananchi wa Tanzania.
 
Vyama mbadala vimeshindwa kuwa na msimamo thabiti kuhusu Katiba Mpya

Kuna wale wanaotaka mchakato mpya-Katiba mpya
Kuna wale wanaotaka mchakato wa Katiba mpya ulioendelezwa na Warioba uendelee.
Kwa maoni yangu Chadema kumegawanyika katika makundi hayo mawili juu

CHADEMA:
Tundu Lissu, naamini hajafurahishwa na mchakato mzima wa maridhiano(ya siri) pamoja na kuwa anafaidika kwa namna moja au nyingine na maridhiano haya.
Mbowe in the other hand, yupo tayari kuendelea na status quo, alimradi maridhiano yanamletea na kumfanyia wepesi wa kisiasa 'political expediency' na hivyo basi Katiba kutokuwepo katika ajenda yake kwa muda huu.....2023-2030

Vyama Vingine: kuna wale wa Rasimu ya Warioba na wadandiaji.

Mada, ni ushahidi wa mpasuko wa ndani wa CHADEMA. mtajijiju
 
Bora maandamano
 

Aliekwambia chadema wanafanya maridhiano Kwa ajili ya katiba ni Nani?

Wamefanya maridhiano Kwa maslai yao wenyewe

Now mambo yao ni safi


Aliekuwa anadai ela za ubunge kapewa zote,

Aliefungiwa biashara zake, zimefunguliwa zote

Aliekuwa nje uhamishoni karudi na ticket kapewa

Sasa ww kaa fikilia wenzako wanawaza katiba mpya
 

Hata kama Rais angekuwa ni Mbowe au Lissu still wasingeleta katiba mpya
 
Aione Erythrocyte kwenye shajara
 
Mfa maji hawachi kutapa tapa huyu anajua katiba mpya itakuja ila anapima upepo wa mama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…