Kwa kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, CHADEMA acheni maridhiano hakuna Katiba Mpya


Sio CHADEMA ni Mbowe ndio anazingua. Tukimpata Mwenyekiti mpya tutarudi kwenye mstari. Sio huyu Mbowe ambaye analazimisha urafiki wake na Samiah uwe wa chama. I hate that.
 
Kwa kifupi hakuna chama pinzani Tanzania. CCM ni chama kikubwa sana na mwenye sauti Kwa vyama vyote. Wao wananogewa na Ruzuku na INSERNTIVES NYINGINE.

Mimi nalia na Mbowe. Katuuza mchana kweupe. Si atangaze kustaafu huyo jamaa. Chama kina hitaji reforms sio kujikomba kwa Samiah kwenye futari na baraza la idd.
 
Hao ni wanasiasa tu na hawawezi kua kwenye hizo nafasi milele yote ila elimu ya uraia kwa wananchi ni muhimu.kwahiyo hata kama katiba mpya haitapatikana sasa ila iko siku itapatikana kwasababu wananchi watakua tayari wameelimika vyakutosha.Sio lazima mabadiliko yenye manufaa faida yake ipatikane wakati huo huo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mapimbi ya ccm yanajiuliza maswali na kujijibu menyewe

Kwn unafikiri hata katiba mpya isipopatikana wanaumia chadema tu ??
 
Acha uongo wee chawa wa mama
 
Tutaamini kuwa hiyo kauli ni ya serikali iwapo huyo waziri hatafukzwa kazi au kama angalau Msigwa hatajitokeza kutoa ufafanuzi wa kauli hiyo tata. Kwa sasa tunaweza kuchukulia tu kuwa kama kawaida yake waziri ameropoka. Waziri huyu siyo kiongozi wa kisiasa hata kidogo; waliomchagua waliangalia kitu kimoja tu: vyeti vya shule! Siyo kila aliyeingia darasani ameelimika kiasi cha kuwa kiongozi!
 
Hata kama Rais angekuwa ni Mbowe au Lissu still wasingeleta katiba mpya
Unawazemea wewe kama nani?.Swala la katiba mpya ni kwafaida ya nchi na wananchi.sio mbowe wala lissu.anayewaza kua katiba mpya nikwaajili yakina mbowe ni mjinga.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unawazemea wewe kama nani?.Swala la katiba mpya ni kwafaida ya nchi na wananchi.sio mbowe wala lissu.anayewaza kua katiba mpya nikwaajili yakina mbowe ni mjinga.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Nawasemea wao because wao ndio wanapiga kelele za katiba

Hakuna mwanainchi yoyote mwenye muda na mambo ya katiba

Because hata kuwe na katiba mpya kila mwaka kama ujajipanga Kwa kusoma vizuri, kufanya kazi Kwa bidii, Maisha yako yatakuwa the same

Katiba haiwez kusema kila week upewe ela

Man work hard tafuta ela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…