mnyama nae amekuwa sio simba amekuwa fungo hana lolote hana chochote...SAWADOGO.Mnyama ni kukaza buti tu, hawa jamaa siku sio nyingi pumzi itakata ..
Hili ndio tatizo la wale, wameshikiwa akili na viongozi wao, sasa wanapelekwa tu kama kondoo..Wao lao ni "dogo kazingua" badala ya kuwahoji viongozi " Kwann hatukuwa wa kwanza kumshawishi Fei na maslahi mazuri ikiwa kiwango chake kinawashawishi watu wa nje kumshawishi"?
Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wako kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.Salaam!
Kumbe ndio maana kila siku wanahangaika kumuandikia barua arudi utopolo, pamoja na kushirikiana na wale wanasiasa wanaoongoza mpira wetu pale viwanja vya Karume.
Sasa Nabi kaona isiwe tabu, ameamua kumwaga mboga kabisa, anadai anapata tabu kubadilisha mfumo licha ya wachezaji wote alionao, kisa Fei Toto hayupo!.
Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wako kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.View attachment 2495470
Mshana amini, ule uzi wako wa jezi nzito za jamaa bado unaishi...Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wako kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.
Halafu wale njiti wenu wanamsema vibaya sana Feitoto.Salaam!
Kumbe ndio maana kila siku wanahangaika kumuandikia barua arudi utopolo, pamoja na kushirikiana na wale wanasiasa wanaoongoza mpira wetu pale viwanja vya Karume.
Sasa Nabi kaona isiwe tabu, ameamua kumwaga mboga kabisa, anadai anapata tabu kubadilisha mfumo licha ya wachezaji wote alionao, kisa Fei Toto hayupo!.
Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wako kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.View attachment 2495470
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Halafu wale njiti wenu wanamsema vibaya sana Feitoto.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Fei Toto kutokuwepo Yanga hakuwafanyi Yanga wasiweze kutetea Makombe Yao na ilo ndio jambo la Msingi katika mpira wa miguu. Feitoto kuondoaka Yanga hakufanyi Simba isifungwe na Yanga au Azam Isifungwe na Yanga.Hili ndio tatizo la wale, wameshikiwa akili na viongozi wao, sasa wanapelekwa tu kama kondoo..
Quality players vipi wakati kocha wenu anamlilia Fei Toto mpaka leo, kila siku kuandika barua za kubembeleza ...Fei Toto kutokuwepo Yanga hakuwafanyi Yanga wasiweze kutetea Makombe Yao na ilo ndio jambo la Msingi katika mpira wa miguu. Feitoto kuondoaka Yanga hakufanyi Simba isifungwe na Yanga au Azam Isifungwe na Yanga.
Msingi wa mpira ni uwekezaji mzuri na Quality players.
Yanga wanacheza bila Feitoto na wanapata matokeo, Feitoto ndiye mwenye hasara, Future yake kama mchezaji haitabiriki .Yanga kama taasisi wanasonga mbele na Wana twaa vikombe.
Izo ni habari zenu nyinyi mbumbumbu fc, kocha wa Yanga Alisha toa onyo Kwa wachezaji wote, wanatakiwa wawajibike kwenye kazi Yao na kusema anafanya kazi na wachezaji watakao kuwepo.Quality players vipi wakati kocha wenu anamlilia Fei Toto mpaka leo, kila siku kuandika barua za kubembeleza ...