Kwa kauli yake hii, Nabi akiri Fei Toto alikuwa tegemeo Jangwani

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Salaam!

Kumbe ndio maana kila siku wanahangaika kumuandikia barua za kubembeleza ili arudi utopolo, pamoja na kushirikiana na wale wanasiasa wanaoongoza mpira wetu pale viwanja vya Karume.

Sasa Nabi kaona isiwe tabu, ameamua kumwaga mboga kabisa na ugali, anadai anapata tabu kubadilisha mfumo licha ya wachezaji wote alionao, kisa Fei Toto hayupo!.

Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wake kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.
Screenshot_20230125-045801_Gallery.jpg
 
Wao lao ni "dogo kazingua" badala ya kuwahoji viongozi " Kwann hatukuwa wa kwanza kumshawishi Fei na maslahi mazuri ikiwa kiwango chake kinawashawishi watu wa nje kumshawishi"?
Hili ndio tatizo la wale, wameshikiwa akili na viongozi wao, sasa wanapelekwa tu kama kondoo..
 
Yanga anakwenda kutwaa taji la 29 nyie kwasasa kombe Lenu ni Feitoto.
Kocha wako anaumwa kichwa, ajabu wewe shabiki una uhakika wa kombe!.

Haya maajabu yako utopolo pekee..
 
Salaam!

Kumbe ndio maana kila siku wanahangaika kumuandikia barua arudi utopolo, pamoja na kushirikiana na wale wanasiasa wanaoongoza mpira wetu pale viwanja vya Karume.

Sasa Nabi kaona isiwe tabu, ameamua kumwaga mboga kabisa, anadai anapata tabu kubadilisha mfumo licha ya wachezaji wote alionao, kisa Fei Toto hayupo!.

Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wako kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.View attachment 2495470
Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wako kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.
 
Mshana amini, ule uzi wako wa jezi nzito za jamaa bado unaishi...
 
Salaam!

Kumbe ndio maana kila siku wanahangaika kumuandikia barua arudi utopolo, pamoja na kushirikiana na wale wanasiasa wanaoongoza mpira wetu pale viwanja vya Karume.

Sasa Nabi kaona isiwe tabu, ameamua kumwaga mboga kabisa, anadai anapata tabu kubadilisha mfumo licha ya wachezaji wote alionao, kisa Fei Toto hayupo!.

Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wako kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.View attachment 2495470
Halafu wale njiti wenu wanamsema vibaya sana Feitoto.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hili ndio tatizo la wale, wameshikiwa akili na viongozi wao, sasa wanapelekwa tu kama kondoo..
Fei Toto kutokuwepo Yanga hakuwafanyi Yanga wasiweze kutetea Makombe Yao na ilo ndio jambo la Msingi katika mpira wa miguu. Feitoto kuondoaka Yanga hakufanyi Simba isifungwe na Yanga au Azam Isifungwe na Yanga.
Msingi wa mpira ni uwekezaji mzuri na Quality players.
Yanga wanacheza bila Feitoto na wanapata matokeo, Feitoto ndiye mwenye hasara, Future yake kama mchezaji haitabiriki .Yanga kama taasisi wanasonga mbele na Wana twaa vikombe.
 
mnyama nae amekuwa sio simba amekuwa fungo hana lolote hana chochote...SAWADOGO.
Nashangaa mashabiki mnaleta ujuaji, wakati bosi wenu uwanjani.anaumwa kichwa!

Siku ikifika msije kumgeukia mumtoe masikio...
 
Fei Toto kutokuwepo Yanga hakuwafanyi Yanga wasiweze kutetea Makombe Yao na ilo ndio jambo la Msingi katika mpira wa miguu. Feitoto kuondoaka Yanga hakufanyi Simba isifungwe na Yanga au Azam Isifungwe na Yanga.
Msingi wa mpira ni uwekezaji mzuri na Quality players.
Yanga wanacheza bila Feitoto na wanapata matokeo, Feitoto ndiye mwenye hasara, Future yake kama mchezaji haitabiriki .Yanga kama taasisi wanasonga mbele na Wana twaa vikombe.
Quality players vipi wakati kocha wenu anamlilia Fei Toto mpaka leo, kila siku kuandika barua za kubembeleza ...
 
Izo ni habari zenu nyinyi mbumbumbu fc, kocha wa Yanga Alisha toa onyo Kwa wachezaji wote, wanatakiwa wawajibike kwenye kazi Yao na kusema anafanya kazi na wachezaji watakao kuwepo.
Yanga imesha cheza zaidi ya mechi 6 bila Feitoto na zote wameshinda.
Yanga inao uwezo wa kucheza bila Fei Toto.
Ile sio Simba, akitolewa Chama uwanjani mashabiki nao wanatoka.
 
Back
Top Bottom