Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mechi ya mwisho dom city wakiwa pungufu mlishinda goli ngapi?halafu angalia mfumo wa timu zikikutana na Yanga,uwa zinakuja kutafuta droo nd ndio maana zinachezea chini,ukifunguka dhidi ya Yanga kama prison au dom walivyofunguka dhidi yenu tena wakiwa pungufu watachezea hata goli 10,na ndio maana timu zote zilizojaribu kuweka mpira chini zilifungwa zaidi ya goli 2,singida na azam wanajua kilichowakuta,juzi makolo mliomba mpira uishe na dom city tena wakiwa pungufuUnakariri sana, Simba anakuja taratibu, kuwa na mpinzani anayeshinda goli moja kila siku kukata tamaa ni kosa kubwa sana..
Sijawahi kuyaamii magazeti sio tu siku hizi.Siku hizi hamuyaamini magazeti[emoji15][emoji15]
Yanga anatakiwa ashinde mechi saba tu zinazofuatana. Anakuwa katangaza ubingwaMechi 9 nyingi sana, hapo zinahitajika mechi mbili tu mtetemeke kisha mtupishe pale juu..
Na kama kocha wenu ameshaanza kutetemeka..... kama nawaona vile...
Endeleeni kucheza magazetiniSiku hizi hamuyaamini magazeti[emoji15][emoji15]
Mimi nina kocha mgeni ndio anai set timu, hivyo kushinda 1-0 haiwezi kuwa kesi hata kidogo, sio nyie na Nabi wenu ana miaka karibia mitatu ajabu bado analia kumkosa mchezaji mmoja!Mechi ya mwisho dom city wakiwa pungufu mlishinda goli ngapi?halafu angalia mfumo wa timu zikikutana na Yanga,uwa zinakuja kutafuta droo nd ndio maana zinachezea chini,ukifunguka dhidi ya Yanga kama prison au dom walivyofunguka dhidi yenu tena wakiwa pungufu watachezea hata goli 10,na ndio maana timu zote zilizojaribu kuweka mpira chini zilifungwa zaidi ya goli 2,singida na azam wanajua kilichowakuta,juzi makolo mliomba mpira uishe na dom city tena wakiwa pungufu
Muda utaongea tu...Salaam!
Kumbe ndio maana kila siku wanahangaika kumuandikia barua za kubembeleza ili arudi utopolo, pamoja na kushirikiana na wale wanasiasa wanaoongoza mpira wetu pale viwanja vya Karume.
Sasa Nabi kaona isiwe tabu, ameamua kumwaga mboga kabisa na ugali, anadai anapata tabu kubadilisha mfumo licha ya wachezaji wote alionao, kisa Fei Toto hayupo!.
Hili linashangaza, mchezaji waliyekuwa wanamtegemea kwa kiasi kikubwa hivyo, kumlipa pesa ndogo huku wakijua mchango wake kwenye timu, naona ushindi wa 1-0 siku sio nyingi utakata, just a matter of time!.View attachment 2495470
Mimi nimeweka sawa tu kuwa sio mechi tisa ni mechi saba tu zinazofuata ashinde atakuwa ametangaza ubingwa. Hizi ni hesabu za makaratasi tuSasa ndio mpaka akashinde uwanjani, sio kuamdika tu JF!
Nyie mnashinda ngapi ngapi kwani?Fei kaondoka na magoli yake, siku hizi kila siku mnashinda 1-0 tena mengine mnapata bahati jamaa wanajifunga[emoji3][emoji3][emoji3]
Unaota mchana kweupeMnyama ni kukaza buti tu, hawa jamaa siku sio nyingi pumzi itakata ..
Kocha wako anaumwa kichwa, ajabu wewe unakimbilia maneno ya kocha mwingine kujiliwaza!.View attachment 2496198
Wewe kolo endelea kukaza fuvu
Endelea kuotaMimi nina kocha mgeni ndio anai set timu, hivyo kushinda 1-0 haiwezi kuwa kesi hata kidogo, sio nyie na Nabi wenu ana miaka karibia mitatu ajabu bado analia kumkosa mchezaji mmoja!
Timu kupaki bus sio sababu, ushindi mwembamba kwenu ni tabia yenu, mechi ngapi mlizoshinda goli zaidi ya tatu tangu msimu?!