Bila unafiki hatuishi!
Nakumbuka Askofu Pengo aliwahi kuuliza " Hivi ni kweli tunachukuia ufisadi ama tunachukia ufisadi wa wengine tu"?
Akimaanisha wee ukiwa kwenye nafasi ya kunufaika ufisadi bado utauchukia ufisadi?
Sio siri SIMBA inanufaika na Ufisadi/Dhulma za KARIA na kwa hiyo kwao KARIA hana hatia yeyote na apewe miaka yote ikiwezekana!
Je akitokea mtu ooposite na KARIA mtaendelea kuunga mkono?
TARIMBA AMESEMA UKWELI MTUPU, ILA UKWELI MCHUNGU NI KWAMBA HAKUNA FORMULA YEYOTE INAYOWEZA KUMUONDOA KARIA!
Tuendelee kunywa mtori!