Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna Kesi Ilivyoendeshwa na Kusikilizwa na namna ilivyokwenda na Utetezi uliotolewa ni Wazi Lissu Hawezi Kukwepa ama Kujinasua Kwenye Kupata Kifungo cha Maisha Gerezani.
Ameshindwa kujitetea na Ameshindwa kutoa utetezi wa kueleweka na kushawishi . Ameonyesha wazi kabisa Alikusudia kuchochea Machafuko hapa Nchini na kuangamiza Taifa letu kwa Uchu wake wa Madaraka.
Kama Mashahidi zake aliowaleta Ndio Kabisa na Sifuri kabisaa yaani wale jamaa na Elimu zao za Hapa na Pale ni Sifuri Kabisa . Walikuwa wanajikanyaga kanyaga tu Utafikiri Wamesimama juu ya Moto Mkali au utafikiri wamesimama katikati ya msafara wa Siafu. Yaani walikuwa ni Kujikoroga tu na kushangaa shangaa tu utafikiri wameshanganyikiwa .
Hakuna walicho eleza za kueleweka wala hakuna utetezi walioutoa wa kueleweka zaidi ya porojo. Hii nafikiri pengine na Elimu zao za hapa na pale na upeo mdogo walionao unaweza kuwa Umesababisha na kuchangia hayo.
Lissu Ameshindwa Kabisa kueleza na kutoa Maelezo ya Kueleweka .Akabakia kutapatapa tu kwa kutaka kulazimisha Mashahidi. Hivi Kwa akili Timamu na mtu Unayejiitambua Unaweza Vipi Mlazimisha Mtu Awe Shahidi wako na Akutetee? Hivi Inaingia vipi akilini jambo hili?
Maji yamemfika Shingoni na kuanza kutapatapa tu . Alipokuwa anatopoka Majukwaani alijiona ni msela sana asiyegusika . Sasa waliokuwa wanamjaza Upepo wamejikausha pembeni na kuchekea uvunguni .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.