Kwa Lugha ya wapi?Ugwadu ni uchachu
upwiru 😂'kama embe dodo ambalo halijaiva vizuri yani ina ugwadu kwa mbali. '
Unajua maana ya Ugwadu?
Na za Unguja zina Ugwadu?Unguja zipo hizi tamu hizi
Zinao piaNa za Unguja zina Ugwadu?
Hahah mkuu naona wewe umetoa maana sahihi kabisa.upwiru [emoji23]
Mwingi mkuu?Zinao pia
Hizi ni ndaraho au ndarao zipo kwa wingi Moshi Kilema, Marangu, Kirua, nk. Ni tamu sana zikiwa mbivu.Hizi ni tunda zinaitwa Ngoda,miiti yake ni mikubwa kama miparachichi tu. Kwa mwaka zinatoka mara 1 tu misimu ya miezi ya 12 mpka mwezi wa kwanza mwanzoni.
Ladha yake ni chachu kwa umbali kama embe dodo ambalo halijaiva vizuri yani ina ugwadu kwa mbali. Ukila nyingi sana hutaweza kutafuna kitu sababu meno yatauma. Ila ni nzuri sana.
Zina umbo kama la zambarau
Je kwenu zipo? Zinaitwaje?
View attachment 1587998
Kiasi tuu si wakukera zikiwa zimeiva vizuriMwingi mkuu?
Sawa mkuu,ntakuja kuzicheki pande hizo.Kiasi tuu si wakukera zikiwa zimeiva vizuri