Kwa Kichagga zinaitwa "ngoda" sijawahi kuziona popote zaidi ya Moshi. Zinaitwaje kwa kiswahili?

kungwina[emoji16]..
miaka hiyo kijijini kwetu..daah
sio moshi tu.Tanga zitele mkuu.
 
Mbona nyingi tu maeneo y DTV round about Dar opp na Zanzibar HOTEL
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana ngweda izo ni tamu balaa....
Mi amenikimbusha mbali sana, enzi hizo nasoma Mwereni p school, tulikuwa tunaenda kuzochuma pele nyuma ya Keys Hotel au tunazifiuata Mto Rau kwa Mayuri njia ya shortcut kwenda KDC
 
Hivi kumbe Dar Huwa zinakuwa zimeletwa tu enh... Wauzaji kwenye mikokoteni huziita Tende... but Sio ukila baadae mdomoni unakuwa na hali si nzuri hali ya Kukeraaaaa kama Mapassion vile...
 
Daha kitu cha November,December na january hii kitu wacha kabisa
 
Nyingine elimu,kuna vitunda kibao sijawahi viahuhudia sehemu nyingine
 
Hivi kumbe Dar Huwa zinakuwa zimeletwa tu enh... Wauzaji kwenye mikokoteni huziita Tende... but Sio ukila baadae mdomoni unakuwa na hali si nzuri hali ya Kukeraaaaa kama Mapassion vile...
Mm nimeona matunda yote Dar ila sio hizi asee. Zinapatikana wap kwa Dar?
 
Kuna lile tunda jingine linaitwa ndawirho aisee ni tamu ila umakini wakati wa kuchuma unaweza kuta unachuma na nyoka anakucheki unavyomwingilia kwenye anga zake[emoji23][emoji23]
 
Zipo Kagera tulikuwa tunaziita nkarate. Ila sio matunda maarufu ya kulima mashambani. Tulikuwa tunazila njiani wakati tunasoma msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…