Kwa Kichagga zinaitwa "ngoda" sijawahi kuziona popote zaidi ya Moshi. Zinaitwaje kwa kiswahili?

Zipo Kagera tulikuwa tunaziita nkarate. Ila sio matunda maarufu ya kulima mashambani. Tulikuwa tunazila njiani wakati tunasoma msingi
Ni kweli sio tunda la kibiashara mana miti yake inakuwa mikubwa sana,pia huwa halikai muda mwingi sokoni,labda kama kutakuwa na mbegu ya kisasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…