Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Dah wewe ndio kabisaa umeharibu elimu hazipo hivyiMuch knower.
Hizi za moshi sio tende zinaitwa elimu/ helimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah wewe ndio kabisaa umeharibu elimu hazipo hivyiMuch knower.
Hizi za moshi sio tende zinaitwa elimu/ helimu.
Ni kweli sio tunda la kibiashara mana miti yake inakuwa mikubwa sana,pia huwa halikai muda mwingi sokoni,labda kama kutakuwa na mbegu ya kisasaZipo Kagera tulikuwa tunaziita nkarate. Ila sio matunda maarufu ya kulima mashambani. Tulikuwa tunazila njiani wakati tunasoma msingi