Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zinaitwa tende. Dodoma kuna kipindi zilikuwa nyingi sn
Mpaka leo zipo Dodoma. Nimeona zinauzwa Dodoma, niliziona Julai mwaka huuHizo zinaitwa tende. Dodoma kuna kipindi zilikuwa nyingi sn
Napenda sana ugwaduNa za Unguja zina Ugwadu?
Haha acha kukifanya kiswahili kionekane kigumu mkuu. Acha kabisa.'kama embe dodo ambalo halijaiva vizuri yani ina ugwadu kwa mbali. '
Unajua maana ya Ugwadu?
Hizi sii helimu kweli?? Je zipo sehemu nyingine pia Tanzania???
Hapa Dar wanauza wapi?
Hizi ni tunda zinaitwa Ngoda,miiti yake ni mikubwa kama miparachichi tu. Kwa mwaka zinatoka mara 1 tu misimu ya miezi ya 12 mpka mwezi wa kwanza mwanzoni.
NGOWERA
Much knower.Hizo zinaitwa tende. Dodoma kuna kipindi zilikuwa nyingi sn
hizo ni tofauti na zile za dodoma , za dodoma ni kubwa kuliko hizo ngweda, zinafanana rangi tuukuna mpuuzi alinambia hizi ndio tende,kabla hazijasindikwa huwa hivi.
Umeisahau Kahe ziko nyingi sana kule wanaziita NdaraaHizi ni ndaraho au ndarao zipo kwa wingi Moshi Kilema, Marangu, Kirua, nk. Ni tamu sana zikiwa mbivu.
Hizo zinaitwa tende. Dodoma kuna kipindi zilikuwa nyingi sn