Kwa kichapo wanachochezea wapinzani wa Uganda, ni dhahiri wapinzani wa Tanzania waliona mbali

Kwa kichapo wanachochezea wapinzani wa Uganda, ni dhahiri wapinzani wa Tanzania waliona mbali

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Siasa za haya mataifa yanayotuzunguka zinatia aibu na huruma sana, napitia pitia taarifa za Uganda na kusoma kuhusu namna wapinzani wanachezea kichapo cha mbwa, tena wanapigwa na jeshi ambalo jukumu lake ni kulinda dhidi ya uvamizi wa kutoka nje ya nchi, halafu dunia chali, hamna anayesema kitu ama kwa kweli nawapongeza viongozi wa Tz kwa kutowahusisha raia watembelee vichapo vya namna hii, waliachia tu na yakaisha.

Hizi zama naona ni tofauti sana, hapa Kenya enzi zetu tulichezea vichapo kipindi tulikua tunaipa nchi yetu ukombozi wa pili, lakini nafuu yetu jeshi la KDF halikuhusishwa, hivyo tulipambana na polisi hadi wakatuchoka na kutukimbia na hatimaye tukavuna matunda ya katiba mpya na nzuri kuliko nyingi Afrika, sasa kwa majirani naona wao kuhusisha jeshi huwa sio issue, hawakawii, kwa mfano kule Tz siku wapinzani wakitangaza maandamano, hiyo ndio siku JWTZ nao hutangaza kufanya usafi mitaani, sasa hapo mambo huwa yamejikanganya hauwezi kutia pua kama una akili timamu.

===========

Media personality Jeff Koinange had his interview cut short prematurely on the morning of Tuesday, January 12, 2021, after military officers raided his guest's home.

Koinange was conducting a virtual interview with Ugandan presidential candidate Robert Kyagulanyi Ssentamu also known as Bobi Wine, when the officers struck the politician's home in Kampala.

The unexpected raid happened just six minutes into the discussion broadcasted on Hot 96 FM touching on the upcoming elections in Uganda scheduled for Thursday, January 14.

Ugandan presidential candidate Robert Kyagulanyi Ssentamu also known as Bobi Wine

Ugandan presidential candidate Robert Kyagulanyi Ssentamu also known as Bobi Wine

“I am sorry because as we speak I am being raided by the military. I have to end the interview because I can see soldiers beating my security guards and I have to go down and give it attention,” the politician said before cutting the transmission.

During the interview, the politician was giving his opinion on the upcoming polls and the brutality he has faced in his quest to remove President Yoweri Museveni from office through popular vote on a National Unity Party ticket.

Bobi Wine stated that so far more than 500 members of his campaign team had been detained.

“I have been campaigning in a bulletproof jacket and a ballistics helmet because I have survived three assassination attempts,” he told Jeff.

He expressed hope in winning the Thursday poll, adding that Ugandans were yearning for change.

Approximately 17.6 million Ugandan voters are expected to cast their ballots in the presidential and parliamentary elections.

Questioned on whether he thinks Museveni would concede defeat in the event that Bobi Wine won, the politician responded that “Whether or not Museveni concedes defeat is really not our business. Our business is to ensure the people of Uganda cast their votes and their voice is clear.”

In other news about the upcoming polls, Facebook has shut down several accounts of a network in Uganda linked to the country’s Ministry of Information.

The giant technology company accused the network of using fake accounts to promote the ruling party and the president.

In a statement, Facebook accused the account holders of using fake and duplicate accounts to manage pages, comment on other people’s content, impersonate users and re-share posts in groups to make them appear more popular than they were.

Yani ndugu zetu kenya tukiachana na mambo ya ukabila na matatizo mengine, kisiasa mko mbele mno.

Huku Tanzania mfumo bado ni wa zamani sana.

Yani hata jimbo liwe la upinzani, Kuna hawa viongozi wateule wa raisi kama Regional commisioner (mkuu wa mkoa) na district commisioner huwa wana kuwa na kauli kubwa kuzidi mbunge aliechaguliwa kwenye jimbo.

Hivi huko hali halisi huwa inakuaje
 
Nyani hua aoni kundule.

Bora siasa za bongo na UG mara 100 kuliko hapo kunyaland huko kuna unafiki mkubwa na mwakani lazima mnyukane na kuhuana sana halafu majirani tutakuja kuwapatanisha
Siasa zetu za bongo hizi ole wako, nasema oleee wakooo umtukane au kumkosoa flani sijui uanzishe chama pinzani, heheheh utapigwa kipigo cha mbwa koko, Hivi yule Mdude wa chadema aliekuwa anaongea sana ile kesi yake ya madawa ya heroin iliendeleaje
 
Nyani hua aoni kundule.

Bora siasa za bongo na UG mara 100 kuliko hapo kunyaland huko kuna unafiki mkubwa na mwakani lazima mnyukane na kuhuana sana halafu majirani tutakuja kuwapatanisha
Hapana si kweli!

Usiishi kwa kukariri. Wakenya wako transparent sana sasa hivi. Hakuna cha nyani wala kundule hapa, wametupita na tunatakiwa kama Taifa tuangalie hili swala la uchaguzi na tume zake.
 
Hapana si kweli!

Usiishi kwa kukariri. Wakenya wako transparent sana sasa hivi. Hakuna cha nyani wala kundule hapa, wametupita na tunatakiwa kama Taifa tuangalie hili swala la uchaguzi na tume zake.
Hapo kenya Hakuna democracia hata wao mambo ya kupotezana ni kawaida tu
 
Yani ndugu zetu kenya tukiachana na mambo ya ukabila na matatizo mengine, kisiasa mko mbele mno.

Huku Tanzania mfumo bado ni wa zamani sana.

Yani hata jimbo liwe la upinzani, Kuna hawa viongozi wateule wa raisi kama Regional commisioner (mkuu wa mkoa) na district commisioner huwa wana kuwa na kauli kubwa kuzidi mbunge aliechaguliwa kwenye jimbo.

Hivi huko hali halisi huwa inakuaje
mkuu wacha kiherehere 2022 inakuja.

hii mambo kwa africa bado sana,wala hamna wa kumcheka mwenzie.marekani tu zimetokea vurugu sembuse hawa wanaoiga!!!!
 
mkuu wacha kiherehere 2022 inakuja.

hii mambo kwa africa bado sana,wala hamna wa kumcheka mwenzie.marekani tu zimetokea vurugu sembuse hawa wanaoiga!!!!
At least kuna upinzani na sio chama kimoja kinatawala tangu uhuru, huu ni ukomavu wa kisiasa.
 
At least kuna upinzani na sio chama kimoja kinatawala tangu uhuru, huu ni ukomavu wa kisiasa.
ukomavu wa kisiasa sio vyama kubadirishana.bali ni vyama kubadirishana kwa demokrasia na amani bila damu kumwagika.
hiyo ni ishara kuu ya kustaarabika na demokrasia ya vitendo.
kama vyama vinabadirika na watu wanakufa,hapo bado nchi iko kwenye kupigania ukombozi.

ishara za haki huwa hazijidhihirishi kwa dalili,bali haki kamili.

juzi 2018,uhuru akarudia kuhesabu kura watu mkafurahi kweli kweli[emoji38][emoji38][emoji38],kwani mtafanywa wajinga umli huo mpaka lini??inachukua muda gani kujua hafanyi kwa ajiri yenu,bali wanaomtazama kutokea juu!!!!

this is africa,hatujajikomboa bado,mbaya zaidi hata akili zimeungua,hakuna tumaini tena.
 
At least kuna upinzani na sio chama kimoja kinatawala tangu uhuru, huu ni ukomavu wa kisiasa.
Kenya hata naibu wa rais anampinga rais wazi wazi na hafanyiwi chochote. Naibu wa rais ameanzisha chama chake na bado hajafurushwa madarakani. Kenya iko tofauti na Tanzania. Mwaka wa 2017 Uchaguzi wa urais ulifutiliwa mbali na mahakama na rais hakuwavuta mahakimu kazi.
 
Dawa ni katiba inayoeleweka. Rais UK hawezi akamchapa kalamu naibu wake kiholela holela bila idhini ya bunge kupitia mswada wa 'no confidence' dhidi yake. Alafu mswada wenyewe lazima uungwe mkono na zaidi ya ubunge 2/3. Zaidi ya hayo kuna vigezo kikatiba ambavyo lazima vitimize ndio mswada wa kukosa imani na naibu rais uweze kuwasilishwa bungeni. Acha wapambane hadi kieleweke ni jambo njema kidemokrasia.
 
Kenya hata naibu wa rais anampinga rais wazi wazi na hafanyiwi chochote. Naibu wa rais ameanzisha chama chake na bado hajafurushwa madarakani. Kenya iko tofauti na Tanzania. Mwaka wa 2017 Uchaguzi wa urais ulifutiliwa mbali na mahakama na rais hakuwavuta mahakimu kazi.
lakini alishinda tena[emoji1787][emoji1787]

naibu wa rais ni rais wa nchi kijana,sasa ananzishaje chama akiwa madarakani!!![emoji23][emoji23]wanawafanya nyinyi ni watoto sana.
nyinyi watu huwa tunawaambia siku zote mnajifanya kujua sana mambo halafu uhalisia giza tupu,hii inavunja kabisa umoja wa kitaifa,angalia rais badala atumie muda huu kutumikia wananchi nguvu yote iko kwenye chama kipya,mbaya zaidi keshaanza kampaign 2yrs before.

nafasi aliyo nayo katika nchi hana haja kuunda chama chake ili awape wakenya anachotaka kuwapa,pale pale anaweza kuwapa kama anacho.but kwa vile lengo ni kuipiga kenya[emoji28][emoji28]wacha ajifiche kwenye kivuli cha democrasia.
 
Dawa ni katiba inayoeleweka. Rais UK hawezi akamchapa kalamu naibu wake kiholela holela bila idhini ya bunge kupitia mswada wa 'no confidence' dhidi yake. Alafu mswada wenyewe lazima uungwe mkono na zaidi ya bunge 2/3. Zaidi ya hayo kuna vigezo kikatiba ambavyo lazima vitimize ndio mswada wa kukosa imani na naibu rais uweze kuwasilishwa bungeni. Acha wapambane hadi kieleweke ni jambo njema kidemokrasia.
Nakubaliana nawe. Enyewe hii maneno ya kuwa na almighty president mwenye anavuta kazi naibu wake through road side declarations kama vile Moi alivyokuwa akifanya sio jambo nzuri. Rais wakati huo alikuwa na too much power na hio ndio ilifanya huyo dictator aharibu uchumi wa Kenya. Hizo 24 years tulipoteza vitu vingi sana. Tukapitwa na nchi nyingi kimaendeleo kwa sababu Moi hakuwa anajali mambo ya kujenga miundo mbinu. So ni vizuri kuona kwamba rais hawezi kumfuta kazi naibu wake au chief justice na hio ndio iliiwezesha supreme court kupata courage ya kusema uchaguzi urudiwe.
 
Dawa ni katiba inayoeleweka. Rais UK hawezi akamchapa kalamu naibu wake kiholela holela bila idhini ya bunge kupitia mswada wa 'no confidence' dhidi yake. Alafu mswada wenyewe lazima uungwe mkono na zaidi ya bunge 2/3. Zaidi ya hayo kuna vigezo kikatiba ambavyo lazima vitimize ndio mswada wa kukosa imani na naibu rais uweze kuwasilishwa bungeni. Acha wapambane hadi kieleweke ni jambo njema kidemokrasia.
Hahahaha ila wakenya buana

Yaani watu tumetofautiana sana vipaumbele

Vipaumbele vyenu ni kuona viongozi wakitukanana na kuvuana nguo majukwaani bila yeyote kati yao kufanya mwenzake chochote, hilo kwenu ndio raha 🤣🤣🤣

Vipaumbele kwenu ni kuona wananchi wakimtukana Rais na viongozi wote matusi (sio kujenga hoja) ni kutukanana matusi tu bila yeyote kufanywa chochote, hilo kwenu ndio democracy 🤣🤣🤣

Viongozi wenu wakiwaibia hata billions infinite wala sio issue ya katiba sababu sio kipaumbele chenu 😅😅😅

Viongozi kuwajibika kwa wananchi kikamilifu kwa kuzingatia rasilimali na kutoa huduma stahiki za kijamii sio kipaumbele chenu 😅😅😅

Kipaumbele chenu ni kutukanana kwa uhuru na kubatilisha maamuzi yoyote mnaotaka, hiyo ndio standard of Kenya's democracy 🤣🤣🤣
 
lakini alishinda tena[emoji1787][emoji1787]

naibu wa rais ni rais wa nchi kijana,sasa ananzishaje chama akiwa madarakani!!![emoji23][emoji23]wanawafanya nyinyi ni watoto sana.
nyinyi watu huwa tunawaambia siku zote mnajifanya kujua sana mambo halafu uhalisia giza tupu,hii inavunja kabisa umoja wa kitaifa,angalia rais badala atumie muda huu kutumikia wananchi nguvu yote iko kwenye chama kipya,mbaya zaidi keshaanza kampaign 2yrs before.

nafasi aliyo nayo katika nchi hana haja kuunda chama chake ili awape wakenya anachotaka kuwapa,pale pale anaweza kuwapa kama anacho.but kwa vile lengo ni kuipiga kenya[emoji28][emoji28]wacha ajifiche kwenye kivuli cha democrasia.
Siasa za kenya ni za kishenzi mno ni monkey politics kama saivi hawajengi nchi kabisa, viongozi wote serikalini wanatafuta tu majukwaa ya kuchambana 😅

Leo kiongozi 1 akirusha dongo kesho mwingine anatafuta miambari iwe ni kanisani au function nyingine yoyote kujibu dongo na yeye kurusha kali zaidi 😅 Yaani ni monkeys routine games

Kuna tanga tanga, kieleweke, BBI sijui na matakataka gani

Game inayo trend saivi ni kupokezana urais kwa makabila 😅😅😅

Huu mwaka wa 3 monkeys routine game is on the climax, ni michambano tu mwanzo mwisho 😅😅😅
 
Siasa za kenya ni za kishenzi mno ni monkey politics kama saivi hawajengi nchi kabisa, viongozi wote serikalini wanatafuta tu majukwaa ya kuchambana [emoji28]

Leo kiongozi 1 akirusha dongo kesho mwingine anatafuta miambari iwe ni kanisani au function nyingine yoyote kujibu dongo na yeye kurusha kali zaidi [emoji28] Yaani ni monkeys routine games

Kuna tanga tanga, kieleweke, BBI sijui na matakataka gani

Game inayo trend saivi ni kupokezana urais kwa makabila [emoji28][emoji28][emoji28]

Huu mwaka wa 3 monkeys routine game is on the climax, ni michambano tu mwanzo mwisho [emoji28][emoji28][emoji28]
kama wanashindwa kujua muda wa kazi na muda wa siasa tofauti yake ni nini,kisha wanaita democrasia[emoji23][emoji23][emoji23].

utaita jina gani watu wa hivi??
 
kama wanashindwa kujua muda wa kazi na muda wa siasa tofauti yake ni nini,kisha wanaita democrasia[emoji23][emoji23][emoji23].

utaita jina gani watu wa hivi??
Hakuna order kabisa mkuu, Rais anamtukana makamu wake, makamu anamtukana kiongozi wake katika process wanayoiita BBI yaani building bridge initiative 😂😂😂😂 Sasa sijui ni bridge ipi inajengwa hapo

Kuhusu kazi Hakuna kazi yoyote wanayofanya zaidi ya kuchambana kwenye misiba, makanisani, harusi, graduations kila wanapopata nafasi ni kupigana madongo tu 😅😅

Me nakuambia uchaguzi huu watachinjana kichizi, leo wamechoma gari la mfuasi wa makamu wao wa Rais, joto la vurugu lipo juuu kuliko kawaida 😅😅😅
 
Wakenya wenzako wanapigwa Mnada kama Punda huko libya wewe unapiga Pang'ang'a humu kama Mwendawazimu.

Kwanza awamu hii ndio mumeharibu kabisa, mumefuta upinzani halafu mkaingia kwenye siasa za ukabila kichwa kichwa.
 
Kwanza awamu hii ndio mumeharibu kabisa, mumefuta upinzani halafu mkaingia kwenye siasa za ukabila kichwa kichwa.
tanzania sio kenya myfreehen[emoji16][emoji16]

rais kanda ya ziwa(sukuma)
makamo(visiwani)
PM kanda ya kusini(makonde)
speaker kati(dodoma)
chief judge nyada za juu(jita)

embu weka the big 5 wenu tupime jambo hapa[emoji1][emoji1].
 
Back
Top Bottom