mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Raundi hii Tz mumeiharibu kabisa, mambo ya kikabila kwa viinchi vidogo vyenye makabila machache inaweza isiwe na madhara sana, ila kwa liinchi lote hilo na makabila zaidi ya mia unaanzisha ukabila, sasa makajamba kama kule Kigoma si ndio wamezikwa kabisa maana wale hata kufikiwa na barabara huwa ni kwa mbinde.
labda kenya ndio mna tabia ya kupendelea maendeleo kwa kanda fulani.
halafu kwa akili zako za kuvukia barabara,makabila 125 unadhani nchi itatawalika ukianza kuweka ukabila???wewe ndio unaforce ionekane tz kuna ukabila.
ndio maana mnashangaa pamoja na yote hayo huwezi sikia kuna mvutano wa kikabila kuongoza maana kazi ilifanywa na nyerere kujenga umoja wa kitaifa,leo hii hata wakae wamasai tupu pale juu hakuna tatizo,maana wote ni watz.