Kwa kichapo wanachochezea wapinzani wa Uganda, ni dhahiri wapinzani wa Tanzania waliona mbali

Kwa kichapo wanachochezea wapinzani wa Uganda, ni dhahiri wapinzani wa Tanzania waliona mbali

Siasa zetu za bongo hizi ole wako, nasema oleee wakooo umtukane au kumkosoa flani sijui uanzishe chama pinzani, heheheh utapigwa kipigo cha mbwa koko, Hivi yule Mdude wa chadema aliekuwa anaongea sana ile kesi yake ya madawa ya heroin iliendeleaje
Si mpinzani mwenzio unamuuliza nani sasa?
 
halafu nilishangaa na reli pia mumepeleka Mchina akachimbe karibu na huko Chato badala ya kuunganisha kwanza na kale kasafu ka Dar-Moro kaliokwamia njiani maporini huko.

kale hakajakwama bado kazi inaendelea.

ulidhani kamekwama kama yakwenu😂😂😂😂.

hapana.
 
Hapana si kweli!

Usiishi kwa kukariri. Wakenya wako transparent sana sasa hivi. Hakuna cha nyani wala kundule hapa, wametupita na tunatakiwa kama Taifa tuangalie hili swala la uchaguzi na tume zake.
Unazungumzia uchaguz wa makabila ndio huru
 
unashangaa hao,hata kuna watu inawauma wagonjwa wa corona kukosekana tz😃😃😃.

relax

Umehamia kwenye maigizo ya ugonjwa halafu naona mumeifanya dili, mnawapiga watu dola $150 kupima ilhali mataifa yote duniani kupima ni bure.
 
kale hakajakwama bado kazi inaendelea.

ulidhani kamekwama kama yakwenu😂😂😂😂.

hapana.

Ya kwetu kilomita 600km tumeisafiria hadi tumechoka nayo, hako kasafu ka kwenu 200km kamekwamia huko maporini na ujio wa Mchina mnampeleka akachimbe huko karibu na Chato badala aunge hapo mlipokwamia.
 
sasa ulitaka yenu ya 14century nayo ichukue muda kumalizika[emoji38][emoji38][emoji38].

stop grouping them at the same class[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Kiukweli kama ni kwenye siasa Wakenya mnalo la kujivunia! Kule Uganda Idd Amini mwingine alishazaliwa na kibaya zaidi Nyerere alishatangulia mbele za haki, hivyo Waganda zidisheni sala na maombi Mungu akawainulie Nyerere mwingine maana hata yule Fashist Nduli Idd Amini Dada, kama sio Nyerere wa Tanzania kuna uwezekano angeendelea kula nyama za Waganda wenzake akiwa amekalia Ikulu mpaka kufa kwake!
 
Hili la ukabila mlikua mkitusema sana ila naona kwenu ndio limetamalaki.....kila kitu kinakwenda Chato kwa mwendo kasi.
Jomo Kenyatta Kikuyu
Daniel Moi Kalinjen
Mwai Kibaki Kikuyu
Uhuru Kenyata Kikuyu
Mama Ngina Kikuyu
Allan Kilavuka(Jambo jet director) Kikuyu
Robert Kariuki Kibochi (CDF)Kikuyu
Hillary Mutyambai(IGP) Kikuyu
Githu Muigai Attorney General Kikuyu
Philomena Mbete Mwilu(Chief Justice) Kikuyu.
John Njenga, Archbishop of the Roman Catholic Church KIKUYU
Benson Wairegi, group CEO at Britam Holdings plc KIKUYU
 
Hili la ukabila mlikua mkitusema sana ila naona kwenu ndio limetamalaki.....kila kitu kinakwenda Chato kwa mwendo kasi.
Joseph Barrage Wanjui, chairman of UAP-Old Mutual Group KIKUYU

James Mwangi, group CEO and largest individual shareholder at Equity Group Holdings Limited. KIKUYU

Peter Munga, founder and chairman of Equity Group Holdings Limited, Eastern Africa's second largest bank by customers after C.B.E. KIKUYU

Philip Ndegwa, entrepreneur, internationally respected economist and former Governor of the Central Bank of Kenya KIKUYU

Samuel Kamau Macharia, founder and chairman of Royal Media Services KIKUYU

Patrick Ngugi Njoroge, Governor of the Central Bank of Kenya. KIKUYU
 
Hili la ukabila mlikua mkitusema sana ila naona kwenu ndio limetamalaki.....kila kitu kinakwenda Chato kwa mwendo kasi.
Wanuri Kahiu, film director KIKUYU

Jeff Koinange, Emmy Award-winning journalist KIKUYU

Janet Mbugua, news anchor. KIKUYU

David Mathenge, musician popularly known as "Nameless" KIKUYU

Stella Mwangi, musician. KIKUYU

Wahu, musician. KIKUYU

Avril, musician and actress KIKUYU

Amani, musician KIKUYU

Jaguar, musician. KIKUYU

Joseph Kamaru, musician. KIKUYU

Daniel Kamau Mwai "DK", musician KIKUYU

Queen Jane, musician KIKUYU

Abbas Kubaff, hip hop artist KIKUYU

Wangechi, rapper. KIKUYU

Victoria Kimani, musician and actress KIKUYU

Patricia Kihoro, musician, actress and radio personality KIKUYU
 
Tanzania kujilinganisha na kenya ni kujipanua msamba tutachanika tu
 
sasa ulitaka yenu ya 14century nayo ichukue muda kumalizika[emoji38][emoji38][emoji38].

stop grouping them at the same class[emoji23][emoji23][emoji23].

Kasafu kaadogo 200km mlikua mkamilishe 2019 ila sijui huw mnatatizo gani nyie watu, sisi tumeteleza kwa SGR hadi tumechoka.
 
Kasafu kaadogo 200km mlikua mkamilishe 2019 ila sijui huw mnatatizo gani nyie watu, sisi tumeteleza kwa SGR hadi tumechoka.
na kweli mmechoka,mpaka mkaamua muishie njiani tu[emoji38][emoji38]
 
Jomo Kenyatta Kikuyu
Daniel Moi Kalinjen
Mwai Kibaki Kikuyu
Uhuru Kenyata Kikuyu
Mama Ngina Kikuyu
Allan Kilavuka(Jambo jet director) Kikuyu
Robert Kariuki Kibochi (CDF)Kikuyu
Hillary Mutyambai(IGP) Kikuyu
Githu Muigai Attorney General Kikuyu
Philomena Mbete Mwilu(Chief Justice) Kikuyu.
John Njenga, Archbishop of the Roman Catholic Church KIKUYU
Benson Wairegi, group CEO at Britam Holdings plc KIKUYU

Wewe nimekua nakupuuza maana hata sijui nini kinakuuma haswa, hapa umekurupuka, tafuta Mkenya akupe asili ya makabila ya hayo majina, usiokoteze tu.
 
na kweli mmechoka,mpaka mkaamua muishie njiani tu[emoji38][emoji38]

Tulipapatikia maana raha ya mfumo wa SGR ulikua mgeni kwetu, ila kwa sasa tumezoea na kuchoka tunataka kingine...
Hivi nyie kuna kichwa mlileta eti ndio SGR ila mkakinywesha gongo.
 
Wewe nimekua nakupuuza maana hata sijui nini kinakuuma haswa, hapa umekurupuka, tafuta Mkenya akupe asili ya makabila ya hayo majina, usiokoteze tu.
Yupi siyo mkikuyu hapo!? Kenyatta au Mama Ngina!?
 
Tulipapatikia maana raha ya mfumo wa SGR ulikua mgeni kwetu, ila kwa sasa tumezoea na kuchoka tunataka kingine...
Hivi nyie kuna kichwa mlileta eti ndio SGR ila mkakinywesha gongo.
ama kweli ni ushamba tu kama ulivyotangulia kuandika.

kwenye ujenzi wa reli kiwango,lazima mkandarasi awe na kichwa cha mabehewa kadhaa kwa ajiri ya majaribio.ndicho hicho kilianguka kikiwa kinawekwa kwenye reli hiyo inayotengenezwa.

hujaona kimebeba watu wanaweka simu juu ya chupa za soda na haianguki[emoji23][emoji23][emoji23],kwanini hukusema ndio imeanza kazi!!!

Niendelee au nisiendelee...

Chris Kirubi, industrialist and largest individual shareholder at Centum Investment Company Limited. KIKUYU

Jimnah Mbaru, investment banker, entrepreneur and founder chairman of African Securities Exchanges Association. KIKUYU

Titus Kiondo Muya, founder of Family Bank KIKUYU

Sam Thenya, founder and group CEO at Nairobi Women's Hospital. KIKUYU

Betty Muthoni Gikonyo, co-founder and group CEO at Karen Hospital KIKUYU

Simon Gicharu, founder of Mount Kenya University. KIKUYU

Tabitha Karanja, founder and CEO of Keroche Breweries. KIKUYU

Eddah Waceke Gachukia, educationist, entrepreneur and co-founder of Riara Group of Schools. KIKUYU

Paul Wanderi Ndung'u, entrepreneur and co-founder of SportPesa KIKUYU

Gideon Maina Muriuki, group CEO at Cooperative Bank of Kenya. KIKUYU

Joram Kamau, founder of Tuskys. KIKUYU

Peter Mukuha Kago, founder of Naivas Limited. KIKUYU

John Gachora, group CEO at NIC Bank Group. KIKUYU

Wilfred Kiboro, chairman of the Board of Directors at Nation Media Group. KIKUYU

Mugo Kibati, group CEO of Sanlam Kenya Plc and chairman of Lake Turkana Wind Power. KIKUYU
 
Back
Top Bottom