Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wakikuyu safari hii hawana chao huko kwa manyang’au. Piga ua mjaluo anachukua nchi. Ukabila unawatafuna hadi mifupa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isifananishe Kenya manyang'au wa Tanzania, jaribu kuficha aibu yako.Nyani hua aoni kundule.
Bora siasa za bongo na UG mara 100 kuliko hapo kunyaland huko kuna unafiki mkubwa na mwakani lazima mnyukane na kuhuana sana halafu majirani tutakuja kuwapatanisha
Nyie mmebaki na kipaumbele cha kuua wapinzani.Hahahaha ila wakenya buana
Yaani watu tumetofautiana sana vipaumbele
Vipaumbele vyenu ni kuona viongozi wakitukanana na kuvuana nguo majukwaani bila yeyote kati yao kufanya mwenzake chochote, hilo kwenu ndio raha 🤣🤣🤣
Vipaumbele kwenu ni kuona wananchi wakimtukana Rais na viongozi wote matusi (sio kujenga hoja) ni kutukanana matusi tu bila yeyote kufanywa chochote, hilo kwenu ndio democracy 🤣🤣🤣
Viongozi wenu wakiwaibia hata billions infinite wala sio issue ya katiba sababu sio kipaumbele chenu [emoji28][emoji28][emoji28]
Viongozi kuwajibika kwa wananchi kikamilifu kwa kuzingatia rasilimali na kutoa huduma stahiki za kijamii sio kipaumbele chenu [emoji28][emoji28][emoji28]
Kipaumbele chenu ni kutukanana kwa uhuru na kubatilisha maamuzi yoyote mnaotaka, hiyo ndio standard of Kenya's democracy 🤣🤣🤣
Tanzania ndio hakuna upinzani kabisa. Vipi chama kimoja kinatawala huko kwa miaka sitini? Lazyland ina vituko sana.Kenya Kuna Upinzani? Wewe ni mgeni wa siasa za Kenya. Kausha
tanzania sio kenya myfreehen[emoji16][emoji16]
rais kanda ya ziwa(sukuma)
makamo(visiwani)
PM kanda ya kusini(makonde)
speaker kati(dodoma)
chief judge nyada za juu(jita)
embu weka the big 5 wenu tupime jambo hapa[emoji1][emoji1].
Hata kenya kanu inatawala tangu uhuru.. u only changed the name of the party, but the same people, msitu mpya Nyani walewale..Tanzania ndio hakuna upinzani kabisa. Vipi chama kimoja kinatawala huko kwa miaka sitini? Lazyland ina vituko sana.
Naskia next president ni Ruto au Gideon Moi,Hao wote ila maendeleo yote yamekwenda Chato kwa kabila moja, mumekumbatia ukabila kichwa kichwa....
Kenya...umeomba big five, haya hawa hapa
Rais - Mkikuyu
Makamu - Mkalenjin
Chief Justice - Mkisii
Spika - Mturkana
Hatuna PM position
Wapi huko?Nyani hua aoni kundule.
Bora siasa za bongo na UG mara 100 kuliko hapo kunyaland huko kuna unafiki mkubwa na mwakani lazima mnyukane na kuhuana sana halafu majirani tutakuja kuwapatanisha
Mwai Kibaki na Moi pia wanatoka kwa ukoo wa Kenyatta? Unajua unachozungumzia wewe kweli?Hata kenya kanu inatawala tangu uhuru.. u only changed the name of the party, but the same people, msitu mpya Nyani walewale..
Tena mmeongozwa na ukoo mmoja wa wezi for good 60 years manina.
Naskia next president ni Ruto au Gideon Moi,
Kikuyus and Kalenjins will forever rule that bandit wretched republic
maendeleo yanakwenda chato[emoji38][emoji38]huku umebana pua.Hao wote ila maendeleo yote yamekwenda Chato kwa kabila moja, mumekumbatia ukabila kichwa kichwa....
Kenya...umeomba big five, haya hawa hapa
Rais - Mkikuyu
Makamu - Mkalenjin
Chief Justice - Mkisii
Spika - Mturkana
Hatuna PM position
kwani cheo kipo kimoja serikalini[emoji38][emoji38][emoji38]Kwa nchi yenu ilivyo kubwa na makabila mengi na huo umaskini uliokubuhu nahisi mtateseka sana kwa hizo sasa mnazofanya za kikabila.
Yaani mpaka Mhehe kama wewe ufikiwe utasubiri na mlivyo kabila linaloongoza kwa wanaojitoa uhai halafu ule msosi wenu pendwa.
Leo ndio nimejua pm ni kabila gani unaweza dhani ni utani kumbe walaa [emoji23][emoji23][emoji23]tanzania sio kenya myfreehen[emoji16][emoji16]
rais kanda ya ziwa(sukuma)
makamo(visiwani)
PM kanda ya kusini(makonde)
speaker kati(dodoma)
chief judge nyada za juu(jita)
embu weka the big 5 wenu tupime jambo hapa[emoji1][emoji1].
Rao sasa hivi anataka makabila yawe yana badilishana urais kila awamu!Jomo Kenyatta KIKUYU
Daniel Moi KALENJIN
Mwai Kibaki KIKUYU
Uhuru Kenyatta KIKUYU
Hahahaha noma sana.
Sasa Kenya wakenya wapo na kabila 42 wakiwa wanabadilishana kwa ukabila.Rao sasa hivi anataka makabila yawe yana badilishana urais kila awamu!
Can you imagine Tanzania yenye makabila zaidi ya 120 ifanye huo ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukabila sio poa.
maendeleo yanakwenda chato[emoji38][emoji38]huku umebana pua.
kusikia uwanja wa ndege,hospital ya rufaa umehisi huzuni,chato kuna watu pia.
ona huyu hapa sijui wataishi wakenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1676125
kwani cheo kipo kimoja serikalini[emoji38][emoji38][emoji38]
nimekutajia the big 5 hapo juu,bado sijaingia top layer.
utakutana na makabila ambayo hujawahi yasikia.