ukomavu wa kisiasa sio vyama kubadirishana.bali ni vyama kubadirishana kwa demokrasia na amani bila damu kumwagika.
hiyo ni ishara kuu ya kustaarabika na demokrasia ya vitendo.
kama vyama vinabadirika na watu wanakufa,hapo bado nchi iko kwenye kupigania ukombozi.
ishara za haki huwa hazijidhihirishi kwa dalili,bali haki kamili.
juzi 2018,uhuru akarudia kuhesabu kura watu mkafurahi kweli kweli[emoji38][emoji38][emoji38],kwani mtafanywa wajinga umli huo mpaka lini??inachukua muda gani kujua hafanyi kwa ajiri yenu,bali wanaomtazama kutokea juu!!!!
this is africa,hatujajikomboa bado,mbaya zaidi hata akili zimeungua,hakuna tumaini tena.