Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakufa yeye kabla ya kumaliza hicho kizazi chote cha Gaza.NIMEANGALIA AL JAZEERA
AISEE HUYU MWAMBA WAMWACHE TU AMALIZE ALICHOPANGA
KIFUPI HANA HATA MPANGO WA KUACHA MAUWAJI YA GAZA LEO WALA KESHOOO
MNS ANAHITAJI KIZAZI KIPYA GAZA HAWA WALIOPO WAISHE WOTEE
hatafanikiwaNIMEANGALIA AL JAZEERA
AISEE HUYU MWAMBA WAMWACHE TU AMALIZE ALICHOPANGA
KIFUPI HANA HATA MPANGO WA KUACHA MAUWAJI YA GAZA LEO WALA KESHOOO
MNS ANAHITAJI KIZAZI KIPYA GAZA HAWA WALIOPO WAISHE WOTEE
huyo natanyahu muda wake unakaribia kuisha kwa huo uovu atapigwa fimbo na MunguNIMEANGALIA AL JAZEERA
AISEE HUYU MWAMBA WAMWACHE TU AMALIZE ALICHOPANGA
KIFUPI HANA HATA MPANGO WA KUACHA MAUWAJI YA GAZA LEO WALA KESHOOO
MNS ANAHITAJI KIZAZI KIPYA GAZA HAWA WALIOPO WAISHE WOTEE
huyo natanyahu atapigwa fimbo na MunguAisee YAAN nilikuwa maombi yotee ya nchi zotee na ma in sijui who atalegeza khaaaa
Kitendo cha kusema ANAHITAJI 34 wakiwa hai na wakati wako 22 hai else ANAHITAJI kukumaliza kikosi cha.....aisee n kama anataka KUMALIXA KIZAZI awaache tu
Kwa kifupi huyu Bwana akifa Israel haitakuwa salama anyway
Duh hatari sana mkuuMabikira 72 wanawahusu hahahahaha mpwaa wanamalizika mbaya watotoo wanakufa kama sisimizi
MKUU kama n fimbooo imenaza kwa gazahuyo natanyahu atapigwa fimbo na Mungu
Hakuna baraka Kwa taifa la kisenge Kama Kama hilo watifuana mitaroMKUU kama n fimbooo imenaza kwa gaza
YAAN ukisoma bible alaaniwe anaeilaani Israel
Abarikiwe anaeibariki Israel
Nenda mpaka vijijini wale wachungaji sio wajinga kuweka bendera za Israel pale MBELE madhabahuni
Zinabaraka zake mnoo....
Nahisi kama kibaokoo kitaanza kwa gaza kwanza
mnajidanganya sana,ni Mungu gani ambae atakavwatu wake wauawe,eti israeli ni taifa la Mungu kwahiyo hii tanzania ni nchinya shetani?MKUU kama n fimbooo imenaza kwa gaza
YAAN ukisoma bible alaaniwe anaeilaani Israel
Abarikiwe anaeibariki Israel
Nenda mpaka vijijini wale wachungaji sio wajinga kuweka bendera za Israel pale MBELE madhabahuni
Zinabaraka zake mnoo....
Nahisi kama kibaokoo kitaanza kwa gaza kwanza
1. Alaaniwe anae laani Israel! Israel ni nani?MKUU kama n fimbooo imenaza kwa gaza
YAAN ukisoma bible alaaniwe anaeilaani Israel
Abarikiwe anaeibariki Israel
Nenda mpaka vijijini wale wachungaji sio wajinga kuweka bendera za Israel pale MBELE madhabahuni
Zinabaraka zake mnoo....
Nahisi kama kibaokoo kitaanza kwa gaza kwanza
Mungu haingilii watapigana mwisho watakaa mezani kukubaliana.huyo natanyahu muda wake unakaribia kuisha kwa huo uovu atapigwa fimbo na Mungu
Hakuna Mungu wa waisraeli wala wa wapalestina,Mungu ni wa wote na wala waisraeli sio wote ni waovu,muovu ni natayahu na wafuasi wake ambao Mungu atawaaadhibu kwa siku aliyopanga yeye1. Alaaniwe anae laani Israel! Israel ni nani?
2. Kwa mujibu wa Biblia kuna Israel wa uongo na iSrael wa kweli? Israel wa uongo ina maana gani? Na Israel wa kweli ina maana gani?
3. Unauzungumziaje mfano wa Yessu juu ya shamba ambalo mwenyeshamba alituma mtu 1 wapangaju wakawapiga na kuwafukuza akatuma mtu 2 nae wakamtendea hivovivyo na mwisho akatuma mtoto wake mpendwa nao wakasema huyu si ndiyo mrithi? Ngoja tumuue ili urithi wake uwe wetu! Yesu aliacha swali mwishoni "Unafikiri yule mwenye shamba atafanya nini?"
Netanyau anaendlea kukujibu hili swali1. Alaaniwe anae laani Israel! Israel ni nani?