Kwa Kifupi Netanyau Anataka Kumaliza Kizazi Cha Gaza Waanze upya

Kwa Kifupi Netanyau Anataka Kumaliza Kizazi Cha Gaza Waanze upya

MKUU kama n fimbooo imenaza kwa gaza

YAAN ukisoma bible alaaniwe anaeilaani Israel

Abarikiwe anaeibariki Israel

Nenda mpaka vijijini wale wachungaji sio wajinga kuweka bendera za Israel pale MBELE madhabahuni

Zinabaraka zake mnoo....

Nahisi kama kibaokoo kitaanza kwa gaza kwanza
Brainwash
 
Nimeangalia Al Jazeera

Aisee Huyu Mwamba Wamwache Tu Amalize Alichopanga

Kifupi Hana Hata Mpango WA Kuacha Mauwaji Ya Gaza Leo Wala Keshooo

Mns Anahitaji Kizazi Kipya Gaza Hawa Waliopo Waishe Wotee
Gaza itaendelea kubaki Palestine..
 
Nimeangalia Al Jazeera

Aisee Huyu Mwamba Wamwache Tu Amalize Alichopanga

Kifupi Hana Hata Mpango WA Kuacha Mauwaji Ya Gaza Leo Wala Keshooo

Mns Anahitaji Kizazi Kipya Gaza Hawa Waliopo Waishe Wotee
Sidhani kama anastahili kuitwa "Mwamba"vinginevyo tutalazimika kuepuka kuwaita watu wetu mashujaa wenye kufanya mambo makubwa, muhimu yenye manufaa kwa jamii.
Netapaka ni Zimwi,kulipa sifa zenye mvuto ni kuihadaa jamii.
 
🇾🇪🏴‍☠️| Yemen: We attacked the Tel Aviv power plant

🔸Spokesperson of the Yemeni Armed Forces: With the help of Almighty God, we targeted 2 power plants of the Israeli enemy in the east of the occupied Jaffa area with a Palestinian supersonic ballistic missile.

🔸The Yemeni Air Force also targeted a military target in the occupied Jaffa region using the Jaffa drone.

@NEWWORLDORDYR
 
mnajidanganya sana,ni Mungu gani ambae atakavwatu wake wauawe,eti israeli ni taifa la Mungu kwahiyo hii tanzania ni nchinya shetani?
Wewe ni Allah yupi msenge anaesema mkachinje watu. Li dini la hivyo Sana. Watu wanauana middle east kisa Iman Fulani. Sasa Hivi viangalie Vi YEMEN, vinacheza na sharubu za Simba afu waislamu wote kimya. Siku wakianzishiwa Moto,utaona kelele za free Yemen. *****
 
huyo natanyahu muda wake unakaribia kuisha kwa huo uovu atapigwa fimbo na Mungu
Waliofanya mauaji ya Oct 07,2023 wao watapigwa lini na Mungu?? Acha ujinga wewe utavuna Ulichopanda Hamas walipanda Ugaidi acha wavune mazao yao!!!
 
Attachments

  • 1650253483180738826.mp4
    1.5 MB
Nimeangalia Al Jazeera

Aisee Huyu Mwamba Wamwache Tu Amalize Alichopanga

Kifupi Hana Hata Mpango WA Kuacha Mauwaji Ya Gaza Leo Wala Keshooo

Mns Anahitaji Kizazi Kipya Gaza Hawa Waliopo Waishe Wotee
Kaka uko vizuri sana

Una access hadi ya mipango ya netanyahu ?
 
Back
Top Bottom