Kwa kifupi ni kwamba , Nikki Wa Pili hujui kuimba

Kwa kifupi ni kwamba , Nikki Wa Pili hujui kuimba

Nikki sina bifu na wewe ila nataka nikueleze tu ,huna talent ya kuimba nasema tena " HUNA KIPAJI CHA KUIMBA " , na kama ile mistari unayoimbaga unaitunga ww basi nakushauri baki ukiwa kama mtunzi wa mistari kwnye kundi lako kwani walau kwa hilo unaweza kidogo ,huna ulazima wa kuimba.

Binafsi mm ni shabiki wa Kundi lenu toka likiwa N2N mpaka sasa Weusi.
Kila nikisikia ukiiimbia , nahisi ni Underground anaimba , sivutiwi na uimbaji wako,kundi lako linakubeba ila sidhani kama unabebeka.

Hongera sana kwa Joh Makini na G.Nako.(Keep it Up Brothers).

Mwisho kabisa ...Achana na Tweeter,maana unaandikaga vitu ambavyo haviendani na Elimu yako.

Pole kama andiko langu litaleta maudhi kwako.
sio siri river camp siwaelew hip pop yao kabisa mfano wimbo wa nusunusu sijawaelewa wapo madogo wanakinukisha bhana watoto wa kijenge juu na kijiti,G-nako naye kwenye hippop karibia tunampoteza,wapi ile mtu anaitwa Loon alifanya kolabo na ibra da hustler,mapacha
 
Weusi na N2N ni vitu viwili tofauti. Tangu lini nicki alikua N2N?
 
Kwani jamaa siku hizi anaimba?? Nilikuwa sijui.
 
Yaan pale weusi hakuna mtu zaidi ya gnako, kiukwelj wengine ni nyota na promo tu mfano joh hajui hata kunata na beat. yaan yeye huwaga ilimrad ameshachana ila kuflow kwa beat hawezi kabisa, nahis huwa anachana akapela akimaliza inatafutwa beat ya kumfata flow zake nikki ndio underground asiyetokaga kila siku ni mdogo tu ana utoto na hana swaga za kimziki. G Nako 100.

Ila kuhusu kuimba mi Hata rayvany naona angebaki tu kuwa mtunzi yaani ukiitoa nyimbo ya kwetu hamna nyimbo ya maana tena jamani kwangu hivo mtoa mada kaongea ukweli mwingi sana,
 
sio siri river camp siwaelew hip pop yao kabisa mfano wimbo wa nusunusu sijawaelewa wapo madogo wanakinukisha bhana watoto wa kijenge juu na kijiti,G-nako naye kwenye hippop karibia tunampoteza,wapi ile mtu anaitwa Loon alifanya kolabo na ibra da hustler,mapacha
Wakiandaa show huwa unalipa kiingilio lakini?!
 
Kijana niki2 hajaanzia nako2nako.
Niki kaanzia river camp soldiers. .
Nick ni mwandishi mzuri na anafanya rap nzuri na ina ujumbe mzuri kwa jamii.
Umesikiliza good boy, Niaje, wakina baba swalehe n.k kifupi nikki ni moto wa kuotea mbali.weusi ni kampuni kama angekua kama unavosema wewe wangesha mdrop.
Acha porojo mzee.Mziki ni biashara usimwaribie biashara yake
 
Sorry man kwanza umekosea kumweka Nikki N2N huyo alikuwa zake River camp na huyo bro wake ila kiukwel Weusi ndo siwaelew kabisa yaan anza G Nako rudi kwa Jo Makin Alf na huyo Nikki ndo maana hawakumtak Lord Eyez kwa sababu Lord anaimba ngumu ila kwa sasa labda KCK tena ni kiburudani tu Lakin Nikki hamna kitu pale
KCK wanawaimbia makapurwa ndiyomaana hamnunui album yao wala hawapati show na wakipata show hamuhudhurii.
 
"Sijui nani amakushika akili maana Kuna nikki mbishi na nikki wa pili"
Acha kumfananisha nikki mbishi na vitu vya ovyo ovyo kabisa.
Kundi zima la weusi + radio yao inayowapa promo lakini bado hawajawahi kufikia stanza za nikki mbishi..
Nikki mbishi mfananishe na moko wa miujiza, nash mc, wakazi na zaiid.
 
Acha wivu mtoto wa kike, kwanza Nikki hajawahi kuwa N2N, usipoangalia utakalia libolo fc hapa mjini
 
Asa baba swalehe sijui ndiyo nn.anaimba matakataka tu.akafundishe anapendeza akiwa mwalimu
 
Niki wa pili sio muimbaji... Hawezi kuimba... Sijui anaimbaga madudu gani
 
Nikki sio singer ni rapper...mtoa mada yupo sahihi nikki hawezi kuimba ila anaweza kurap, kuandika na wordplay ya kutosha
 
Back
Top Bottom