Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
anaweza akawepoYuko humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaweza akawepoYuko humu?
Acha kumuweka Unju bin Unuki kwenye makundi ya vimeo"Sijui nani amakushika akili maana Kuna nikki mbishi na nikki wa pili"
Nikki sina bifu na wewe ila nataka nikueleze tu ,huna talent ya kuimba nasema tena " HUNA KIPAJI CHA KUIMBA " , na kama ile mistari unayoimbaga unaitunga ww basi nakushauri baki ukiwa kama mtunzi wa mistari kwnye kundi lako kwani walau kwa hilo unaweza kidogo ,huna ulazima wa kuimba.
Binafsi mm ni shabiki wa Kundi lenu toka likiwa N2N mpaka sasa Weusi.
Kila nikisikia ukiiimbia , nahisi ni Underground anaimba , sivutiwi na uimbaji wako,kundi lako linakubeba ila sidhani kama unabebeka.
Hongera sana kwa Joh Makini na G.Nako.(Keep it Up Brothers).
Mwisho kabisa ...Achana na Tweeter,maana unaandikaga vitu ambavyo haviendani na Elimu yako.
Pole kama andiko langu litaleta maudhi kwako.
Kamanda tembea taratibu,naomba unisome vizuri, unielewe.Acha kumfananisha nikki mbishi na vitu vya ovyo ovyo kabisa.
Kundi zima la weusi + radio yao inayowapa promo lakini bado hawajawahi kufikia stanza za nikki mbishi..
Nikki mbishi mfananishe na moko wa miujiza, nash mc, wakazi na zaiid.