Nikki sina bifu na wewe ila nataka nikueleze tu ,huna talent ya kuimba nasema tena " HUNA KIPAJI CHA KUIMBA " , na kama ile mistari unayoimbaga unaitunga ww basi nakushauri baki ukiwa kama mtunzi wa mistari kwnye kundi lako kwani walau kwa hilo unaweza kidogo ,huna ulazima wa kuimba.
Binafsi mm ni shabiki wa Kundi lenu toka likiwa N2N mpaka sasa Weusi.
Kila nikisikia ukiiimbia , nahisi ni Underground anaimba , sivutiwi na uimbaji wako,kundi lako linakubeba ila sidhani kama unabebeka.
Hongera sana kwa Joh Makini na G.Nako.(Keep it Up Brothers).
Mwisho kabisa ...Achana na Tweeter,maana unaandikaga vitu ambavyo haviendani na Elimu yako.
Pole kama andiko langu litaleta maudhi kwako.