Kwa kifupi ni kwamba , Nikki Wa Pili hujui kuimba

Nikki anafanya HIP HOP ya Kisomi [emoji16][emoji16] anakuja na PhD Hip Hop...

Vijana wanasema jamaa ni GENIUS ndio maana haeleweki kwa vilaza.
 
kweli nikki hajui kinachombeba ni mistari tu ila kwenye mic ni zero, inshort sauti yake haivutii kimziki.
 
Aache kuomba just because wewe unaona haujui kuimba?
Dude upo sawa upstairs?
 
Nashukru nimepata wenzangu nilikua najiona nina roho mbaya kumkejeli Nikki, haniingii masikioni kabisa
 

hajui kuimba abaki anaandika....wakati ivyo ivyo vibaya unavyoona wewe ndo vinamfanya anaendelea kufanya mziki na anapata pesa...sasa kwanini aache...
 
Hivi Nikki alishawahi kua N2N au alikua River camp
 
Acha kumfananisha nikki mbishi na vitu vya ovyo ovyo kabisa.
Kundi zima la weusi + radio yao inayowapa promo lakini bado hawajawahi kufikia stanza za nikki mbishi..
Nikki mbishi mfananishe na moko wa miujiza, nash mc, wakazi na zaiid.
Kamanda tembea taratibu,naomba unisome vizuri, unielewe.

Inamaana hata alama za nukuu huzifahamu...?

Hayo niliyoandika ni moja ya mashairi ya unju bin/zohan/Nikki mbishi katika wimbo wake wa "Bye bye baby" kaa chini kausikilize wimbo huo.

Karibu tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…