Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Wakumlaumu ni Julias aliona mkijua kingereza mtakuwa wajanjq kuliko yeye
Hapana, Nape alisoma baada ya Nyerere kutangulia mbele ya haki. Ili kuanza siasa alipomaliza masomo yake huko India, aliandika malalamiko ya kumtuhumu Lowasa kupanga kuuza kwa jengo la vijana nadhani mwaka 2005 kwa kutumia lugha kama hii hii kwa kiswahili. Kwa hiyo aliandika majibu yake kwa kiswahili, halafu akayatafsri kwa kiingereza labda kutumia Google translator.

Huwa hafichi chuki zake dhidi ya Magufuli kwa kumnyima uwaziri kwani kila anapopata nafasi kazi yake ya kwanza huwa ni kuponda utawala wa Magufuli na kusifia utawala wa Mama
 
Viongozi wengi wanaotuongoza Tanzania ni W.AJINGA, Nape ni mmojawapo tuu!.
 
Aisee, 🥱🥱🥱

Nimecheka sana jinsi ulivyoichambua na kuainisha makosa yote..

Hawa ndio aina ya viongozi tulionao.

Na Namna wanavyo - communicate kimakosa na jamii, moja kwa moja ni ishara na reflection halisi ya kuonesha utendaji na uendeshaji wa mambo katika serikali hii unavyofanyika kimakosa na kupelekea maamuzi mabovu yenye makosa makubwa na hatarishi ya umoja na amani yetu na mwisho wake kuumiza nchi na wananchi..!

This is absolutely very shameful...

I personally doubt kuwa, pengine hata hii taarifa imeandikwa huko huko Dubai, halafu Nape na mama yake Samia ignorantly wakapokea na kusaini tu kama mazuzu vile..

Shame on Nape, shame on madam president Samia Suluhu Hassan and shame on CCM...!!
Huko Dubai kiingereza wanakisomeaga huko huko The Great Britain 🇬🇧 !🙏
 
Vizuri, kwa sababu hotuba yake hakuna anayeweza kuitilia maanani
Hapana. Ni kwasababu wiki hiyo ilikuwa ni siku ya Kiswahili duniani. Hotuba ilisomwa 11 Julai, 2023 ambayo ilisadifu kuwa ni siku ya Kiswahili duniani. Sio hiyo tu bali pia kwenye mkutano wa WIPO ilisomwa kwa Kiswahili na hotuba kwenye baraza la haki za binadamu dunia pia ilisomwa kwa Kiswahili.
 
Hapa ndio utajua ni kwa nini kesi zote tukipelekwa kwenye mahakama za kimataifa tunashindwa,
kwani hicho "kiinglishi" alikua ana waandikia wamarekani au 🤔🤔
Umeona mbali sana !!
 
Hapana. Ni kwasababu wiki hiyo ilikuwa ni siku ya Kiswahili duniani. Hotuba ilisomwa 11 Julai, 2023 ambayo ilisadifu kuwa ni siku ya Kiswahili duniani. Sio hiyo tu bali pia kwenye mkutano wa WIPO ilisomwa kwa Kiswahili na hotuba kwenye baraza la haki za binadamu dunia pia ilisomwa kwa Kiswahili.
Kwendo kusoma hotuba kiswahili ITU na kutegemea kuna watu wanakusikiliza ni sawa na kulinganisha Tsh & Dollar.
 
Back
Top Bottom