Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1)
eneo la kazi ni Arusha Tanzania
Sifa zake
1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali mazingira ya kazi.
2. Umri wake awe na angalau miaka 18+ na asizidi miaka 20.( Awe kijana).
3. Ningependelea awe mkaaji wa Moshi, Boma Ng'ombe, Arusha, Tanga, Babati, Karatu, Singida, Same, na Mwanga.
4. Awe wazi kueleza aliwahi kuwajibika na kazi zipi huko nyuma kabla ya kupatiwa hii hapa.
5.Malazi (sehemu pakulala) nitampa mimi pamoja na Chakula.
6. Asiwe mtumiaji wa Kilevi cha aina yoyote au awe mnywaji lakini asiyekunywa kupindukia kiasi.
7. Awe ni mtu wa Kauli kwa kila mteja.
8. Awe mvumilivu na asiyejibizana na wateja (awe msikivu).
Nipo tayari kumsaidia yeyote bila kuangalia jinsia kama ni kijana wakiume tutafanya kazi vizuri tu, kama ni wakike vile vile maana hapa kuna harakati nyingi na kazi zitaongezeka kila siku zinavyo kuja.
NB.Malipo,naomba mwenye uhitaji aje aniambie anataka shilingi ngapi Kwa mwezi.
Kwenye PM yako nitaomba kama unaweza kuniandikia vitu hivi, basi andika
1. Majina yako.
2. Unaishi wapi kwa sasa.
3. Umri wako pamoja na jinsia yako.
4. Kazi yako kwa sasa kama huna sema sina.
6. Una wazazi au huna.
7. Unataka mshahara wa kiasi gani?(siyo lazima useme).
8.Andika wewe ni mwenyeji wa wapi?
Taarifa hizi ukinipatia zinanisaidia mimi nisiulize maswali mengi kuhusu wewe unayeomba kazi.
Karibu PM kama una huhitaji wa kufanya kazi hii