Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Kocha ni mbwa kabisa.. Matarajio yetu yote ameyafifisha tayariHaswaaaaah, wala haipingwiiiii
We unamchukuliajeKibu unamchukuliaje?
Nyoni, Kibu, Salum, Onyango?? Halafu tuje kusingizia uchawi. Imeisha iyoView attachment 2589946
Yaan cna amani kabisaa.Kocha ni mbwa kabisa.. Matarajio yetu yote ameyafifisha tayari
kaa utazame game. Kibu yuko vizuri.We unamchukuliaje
Kwani waliopangwa ni wachezaji wa Ihefu? Simba ilisajili wachezaji 28 na miongoni mwao ni hao walioanza sasa mlitaka apange wachezaji kutoka wapi wakati ndio mliosajili hao!Nyoni, Kibu, Salum, Onyango?? Halafu tuje kusingizia uchawi. Imeisha iyoView attachment 2589946
Katika vibovu unatafuta chenye nafuu, sasa umuache Kibu umpange Boko?kaa utazame game. Kibu yuko vizuri.
Nyoni, Kibu, Salum, Onyango?? Halafu tuje kusingizia uchawi. Imeisha iyoView attachment 2589946
Mpaka sasa unauona huo uwalakini?Simba nawaheshimu sana tu lakin sasa hiki kikosi cha leo na walakini
Lete Maneno......Nyoni, Kibu, Salum, Onyango?? Halafu tuje kusingizia uchawi. Imeisha iyoView attachment 2589946
Hii game itatupa picha na umuhimu wa kusajili quality players sioni Simba akitoboa hapa
Kosi la leo moyo upo kwenye matako duhh
Simba nguvu moja
mafamba kwenye ubora wenu...Kocha ni mbwa kabisa.. Matarajio yetu yote ameyafifisha tayari