Kwa kikosi hichi cha Simba, kipigo hakiepukiki leo

Kwa kikosi hichi cha Simba, kipigo hakiepukiki leo

Nyoni, Kibu, Salum, Onyango?? Halafu tuje kusingizia uchawi. Imeisha iyo
Na wewe ungetoa ahadi ya kupigwa ban au kuazimisha mke wako walau kwa siku moja. wenzio waliahidi, wamepata walichotaka

1681667892996.png
 
Yaani washabiki wa Simba bhana mnaishi kwenye Dunia yenu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Game hata haijaanza tayari mshaanza kutoa kasoro za kikosi chenu, Mpira Dak 90
Bora ulisema
 
Kumbe naweza kuwa mtabiri
Niliona Simba inashinda kwa wiki nzima nilishikilia msimamo wangu na kikosi hiki nilipokiona basi nikasema swadaktaa kwa sbb wengi waliwadharau na kutegemea watapigwa...
Simba Nguvu Moja
 
Nilimjibu mtoa mada mapema sana, ni shabiki wa utopolo mwenye dharau na kiburi na kuhisi ni club kubwa africa kumbe ni mkongwe fukara tu.
Anajifanyaga ni Lunyasi..
Kama ni lunyasi basi mguu moja ndani mmoja nje
 
Back
Top Bottom