Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshamtoboa mtu mara mbili hukoHii game itatupa picha na umuhimu wa kusajili quality players sioni Simba akitoboa hapa
Teh teh teh mdaka nchale katobolewa kwa shuti kali la rasta man. Pole utopolo.Katika vibovu unatafuta chenye nafuu, sasa umuache Kibu umpange Boko?
Hebu rudia tena huu Utopolo wakoNyoni, Kibu, Salum, Onyango?? Halafu tuje kusingizia uchawi. Imeisha iyoView attachment 2589946
Punguza ujuaji Aisee! Kuna kocha anapenda kufungwa na kuhatarisha ajira yake!?Nyoni, Kibu, Salum, Onyango?? Halafu tuje kusingizia uchawi. Imeisha iyoView attachment 2589946
Baada ya mechi, bado Kocha ni Mbwa!? Au Mbwa ni wewe!?Kocha ni mbwa kabisa.. Matarajio yetu yote ameyafifisha tayari
Duuh salamalekoHaswaaaaah, wala haipingwiiiii
Kocha ni mbwa kabisa.. Matarajio yetu yote ameyafifisha tayari
🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂kikosi B kimempasua mtu leo goli nne mbili dada refa kazikataa mbili kazikubali!.
Mechi imeishaa matokeo sasa 😂Nyoni, Kibu, Salum, Onyango?? Halafu tuje kusingizia uchawi. Imeisha iyo
Bhalaa Hili Maana Limekufa Jitu TaifaMechi imeishaa matokeo sasa 😂
Mnyama kaleta balaa jangwaniBhalaa Hili Maana Limekufa Jitu Taifa