Na wewe ungetoa ahadi ya kupigwa ban au kuazimisha mke wako walau kwa siku moja. wenzio waliahidi, wamepata walichotakaNyoni, Kibu, Salum, Onyango?? Halafu tuje kusingizia uchawi. Imeisha iyo
Poleeeeeeee sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kama Mwananchi, naitakia ushindi timu yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimefurahishwaaa na kushangazwaaaDuuh salamaleko
Bora ulisemaYaani washabiki wa Simba bhana mnaishi kwenye Dunia yenu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Game hata haijaanza tayari mshaanza kutoa kasoro za kikosi chenu, Mpira Dak 90
Nilimjibu mtoa mada mapema sana, ni shabiki wa utopolo mwenye dharau na kiburi na kuhisi ni club kubwa africa kumbe ni mkongwe fukara tu.Kibu unamchukuliaje?
Anajifanyaga ni Lunyasi..Nilimjibu mtoa mada mapema sana, ni shabiki wa utopolo mwenye dharau na kiburi na kuhisi ni club kubwa africa kumbe ni mkongwe fukara tu.
ni wale lunyasi wa mchongo.Anajifanyaga ni Lunyasi..
Kama ni lunyasi basi mguu moja ndani mmoja nje
Tumpeleke Utopoloni kwa mkopo.Anajifanyaga ni Lunyasi..
Kama ni lunyasi basi mguu moja ndani mmoja nje