Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

wache wapeleke serengeti boys... mabishow... wao ndio makocha wao ndio wachezaji... kigenge cha waalifu wa kiblazil kilicho jichimbia PSG... hawa ndio wabebe kombe la dunia hawa... huu ni upuuzi mkubwa sana... wangekuwa wablazil wengine lakini sio hawa...
 
mpira sio majina tena ni uwezo... jina lako kaa nalo... wakina zizou wamekaa na majina yao... wakina ronaldo majina yao yamekuwa makubwa ila uwezo una rudi chini...

mpira wa kishabiki na mahaba ni utumwa...
 
Firminho anapoteza mipira pia sio mkabaji mzuri
 
Na hakibebi kikombe ...mark my words. Wameshajiexpose too much....atakuja mzee wa Mercedes Benz na VW atabeba....wazee wa kimya kimya ....sikujui hunijui...but cheza mbali kabisa na Mjerumani....ni mtendaji na hana kelele zenu.
yessssssssssssssssssss

kaa mbali na watoto

wana vikosi imara kuanzia

,U 19
,U 20
,U 21
 
Na hakibebi kikombe ...mark my words. Wameshajiexpose too much....atakuja mzee wa Mercedes Benz na VW atabeba....wazee wa kimya kimya ....sikujui hunijui...but cheza mbali kabisa na Mjerumani....ni mtendaji na hana kelele zenu.
Wambie kaka German hskuna mbwembwe kule n kaz kaz
 
Wabongo bwana. Anatuletea kikosi nyanya hapa
😀😀😀😀😀😀
 
Weka cha France na German ndio utajua mziki wake
 
Na hakibebi kikombe ...mark my words. Wameshajiexpose too much....atakuja mzee wa Mercedes Benz na VW atabeba....wazee wa kimya kimya ....sikujui hunijui...but cheza mbali kabisa na Mjerumani....ni mtendaji na hana kelele zenu.
Na usije shangaa Final ni Egypt vs Germany!!!
 
Subiri wale wasiocheka wala kutabasamu wawapo uwanjani ndo utajua kazi ikoje.
Angalia sura za wajerumani ni wazee wa kazi.
Mark my words.Brazil zamani siyo sasa.
 
Aaaaargh, umeongea point zakutosha kooooote,
Mara ghafla umerukia "kurogana"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bunder slinger aka mjerumani atachukua kombe. Sio mara ya kwanza Brazil kutabiriwa lkn wakaishia ambulia kipigo kitakatifu
 
NDIO WALIOKUINGIZA JAMIIFORUMS..???
 
Kelele zoooote izo hamna kitu hapo,, mwisho wa siku wanaambulia kichapo cha goli 8 kutoka kwa wanaume halisi/Mercedes Benz or Man......mwisho wa siku mfalme anabeba ndani ya ardhi ya Puttin
Mfalme gani?Huyo aliye qualify kwa kupita kwenye uzi?.Mfalme mwenye gundu.Yaani toka aanza mpira hajawahi beba international cups na timu ya taifa.Itabaki hivyo tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…