Kwa kikosi hiki cha Man United unadhani dhidi ya Liverpool itakuwaje?

Kwa kikosi hiki cha Man United unadhani dhidi ya Liverpool itakuwaje?

Kwahiyo kwa akili zako timamu unadhani nyumbu atashinda ?

Anaolewa hiyo siku
 
Yani kama mshabiki wa liverpool , nawasikitikia hawa busby babes wa kizazi kipya!
 
FB_IMG_17026525291315723.jpg
 
Jumapili ya Desemba 17, 2023, Saa 1:30 Usiku, Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anatarajiwa kuwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool katika mchezo wa Premier League kwenye Uwanja wa Anfield, huku akiwa na orodha ndefu ya wachezaji wa kikosi cha kwanza anaotarajiwa kuwakosa.

Marcus Rashford (Mgonjwa)
Harry Maguire (Nyama za paja)
Luke Shaw (Misuli)
Amad Diallo (Goti)
Mason Mount (Kiazi cha Mguu)
Tyrell Malacia (Goti)
Christian Eriksen (Mguu)
Casemiro (Nyama za paja)
Jadon Sancho (Amesimamishwa)
Lisandro Martinez (Mguu)
Victor Lindelof (Mguu)
Anthony Martial (Mgonjwa)
Bruno Fernandes (Kadi 5 za Njano)

Msimu uliopita United ikiwa na kikosi kamili ilipata kichapo cha magoli 7-0 kwenye nyasi hizohizo, hivyo safari hii Liverpool ikiwa kinara wa Ligi inakutana na United ambayo imekuwa na matokeo mabaya tangu kuanza kwa Msimu wa 2023/23.

==============
Erik ten Hag has got his work cut out... Don't miss Liverpool v Man Utd

Marcus Rashford Unknown
Harry Maguire Groin injury
Luke Shaw Muscle injury
Amad Diallo Knee injury
Mason Mount Calf injury
Tyrell Malacia Knee injury
Christian Eriksen Leg injury
Casemiro Hamstring strain
Jadon Sancho Personal reasons
Lisandro Martinez Foot injury
Victor Lindelof Knock
Anthony Martial Unknown
Bruno Fernandes Disciplinary points


Source: SkySports
Mind game at work.
 
Back
Top Bottom