pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Wahenga walisema mtoto halali na hela ndivyo unavyoweza kusema baada ya jana muwakishi mwingine kutoka Afrika kutolewa kwenye michuano ya World Cup huku Morocco likiwa tumaini pekee lilibaki kwa Waafrika huku akiwa na kizingiti kikubwa mbele ya Uhispania iliyosheheni mafundi wa mpira wenye experience kubwa.
Ila kuna kitu kidogo hakipo sawa kwa team zetu za Africa hasa Senegal maana ni kikosi kilichojaa mastaa huku wote wakicheza soka la kulipwa ulaya ila aina yao ya uchezaji haiendani na profile yao kwa jinsi wanavyocheza kwenye club zao ni tofauti na national team ni kweli profile ya ENGLAND ni kubwa kwenye ramani ya mpira ila kwa jinsi walivyocheza jana Senegal yaani huwezi amini kama ile team asilimia 99% ya wachezaji wanacheza ulaya hawaonyeshi kabisa kama wana taka kitu walitakiwa waonyeshe hali ya kupambana japo kidogo ila sio kwa walivyocheza jana.
Hiki kikosi cha Senegal angekuwa nacho Japan au Korea au hata Marekani basi wangefika mbali sana kwenye michuano hii kipindi France wanachukua WORLD CUP 2018 ni wachezaji wa nne tu waliokuwa na asili ya France wengine wote wana asili ya afrika ila amini kile kikosi cha France kingekuwa kinawakilisha nchi moja wapo kutoka Africa basi safari yao ingeishia hatua ya makundi yaani afrika kuna kitu hakipo sawa ile hali ya kujiona sisi kila kitu hatuwezi hata jana Senegal walikuja kipindi cha pili wameshakata tamaa na kukubali matokea swala la kujituma na uzalendo kwa wa Africa bado sana licha ya kutolewa ila wanaonekana wapo sawa tu tofauti na team nyingine za wazungu wanavyohuzunika na kulia wakitolewa world cup ila ndo afrika hiyo na mambo yake kila kitu tunaamini hatuwezi.
Kwa kikosi hiki unafungwaje magoli ya kizembe na Englang jana, yaani ni kama Ruvu Shooting walikuwa wanacheza na England. Makosa ya kitoto kuanzia kipa mpaka mabeki pamoja na viungo kama hawachezi Ulaya, uzalendo unalitafuna bara la Afrika.
~ Boulaye Dia (SALERNITANA)
~ Ismaila Sarr (WATFORD)
~ Iliman ndiaye (SHEFF UTD)
~ Krepin Diatta (MONACO)
~ Nampalys mendy (LEICESTER)
~ Pathe ciss (RAYO VOLCANO)
~ Youssoff sabaly (REAL BETIS)
~ Abdou Diallo (RB LEIPZIG)
~ Ismail jakobs (MONACO)
~ Edourd mendy (CHELSEA)
~ Koulidou koulibaly (CHELSEA)
~ Pape sarr (TOTTENHAM)
~ Pape gueye (MARSEILLE)
~ Ahmadou dieng (MARSEILLE)
~ Famara diedhiou (ALANYASPOR)
~ Fode Ballo (AC MILAN)
~ Seny dieng (QPR)
~ Alfred gommis (RENNES)
~ Formese mendy (AMIENS)
~ Cheikhou kouyate (NOTTINGHAM FOREST)
~ Nikolas Jackson (VILLARREAL)
~ Mamadou ndiaye (READING)
~ Moustafa name (PAFOS FC)
~ Moussa ndiaye (ANDERLECHT)
~ Pape abou cisse (OLIMPIACOS)
Uzalendo unalitafuna bara la afrika huwezi amini kama mendy na koulibaly wanacheza Chelsea lets go with morroco.