Kwa kikosi hiki cha Senegal walitakiwa kupambana jana

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Wahenga walisema mtoto halali na hela ndivyo unavyoweza kusema baada ya jana muwakishi mwingine kutoka Afrika kutolewa kwenye michuano ya World Cup huku Morocco likiwa tumaini pekee lilibaki kwa Waafrika huku akiwa na kizingiti kikubwa mbele ya Uhispania iliyosheheni mafundi wa mpira wenye experience kubwa.

Ila kuna kitu kidogo hakipo sawa kwa team zetu za Africa hasa Senegal maana ni kikosi kilichojaa mastaa huku wote wakicheza soka la kulipwa ulaya ila aina yao ya uchezaji haiendani na profile yao kwa jinsi wanavyocheza kwenye club zao ni tofauti na national team ni kweli profile ya ENGLAND ni kubwa kwenye ramani ya mpira ila kwa jinsi walivyocheza jana Senegal yaani huwezi amini kama ile team asilimia 99% ya wachezaji wanacheza ulaya hawaonyeshi kabisa kama wana taka kitu walitakiwa waonyeshe hali ya kupambana japo kidogo ila sio kwa walivyocheza jana.

Hiki kikosi cha Senegal angekuwa nacho Japan au Korea au hata Marekani basi wangefika mbali sana kwenye michuano hii kipindi France wanachukua WORLD CUP 2018 ni wachezaji wa nne tu waliokuwa na asili ya France wengine wote wana asili ya afrika ila amini kile kikosi cha France kingekuwa kinawakilisha nchi moja wapo kutoka Africa basi safari yao ingeishia hatua ya makundi yaani afrika kuna kitu hakipo sawa ile hali ya kujiona sisi kila kitu hatuwezi hata jana Senegal walikuja kipindi cha pili wameshakata tamaa na kukubali matokea swala la kujituma na uzalendo kwa wa Africa bado sana licha ya kutolewa ila wanaonekana wapo sawa tu tofauti na team nyingine za wazungu wanavyohuzunika na kulia wakitolewa world cup ila ndo afrika hiyo na mambo yake kila kitu tunaamini hatuwezi.

Kwa kikosi hiki unafungwaje magoli ya kizembe na Englang jana, yaani ni kama Ruvu Shooting walikuwa wanacheza na England. Makosa ya kitoto kuanzia kipa mpaka mabeki pamoja na viungo kama hawachezi Ulaya, uzalendo unalitafuna bara la Afrika.

~ Boulaye Dia (SALERNITANA)

~ Ismaila Sarr (WATFORD)

~ Iliman ndiaye (SHEFF UTD)

~ Krepin Diatta (MONACO)

~ Nampalys mendy (LEICESTER)

~ Pathe ciss (RAYO VOLCANO)

~ Youssoff sabaly (REAL BETIS)

~ Abdou Diallo (RB LEIPZIG)

~ Ismail jakobs (MONACO)

~ Edourd mendy (CHELSEA)

~ Koulidou koulibaly (CHELSEA)

~ Pape sarr (TOTTENHAM)

~ Pape gueye (MARSEILLE)

~ Ahmadou dieng (MARSEILLE)

~ Famara diedhiou (ALANYASPOR)

~ Fode Ballo (AC MILAN)

~ Seny dieng (QPR)

~ Alfred gommis (RENNES)

~ Formese mendy (AMIENS)

~ Cheikhou kouyate (NOTTINGHAM FOREST)

~ Nikolas Jackson (VILLARREAL)

~ Mamadou ndiaye (READING)

~ Moustafa name (PAFOS FC)

~ Moussa ndiaye (ANDERLECHT)

~ Pape abou cisse (OLIMPIACOS)

Uzalendo unalitafuna bara la afrika huwezi amini kama mendy na koulibaly wanacheza Chelsea lets go with morroco.
 
Mashabiki wa Simba mnapenda sana kulalamika na kulialia. Senegal uwezo wake umeishia pale! Sasa malalamiko ya nini?

Wametolewa Ubeligiji na Ujerumani! Timu zenye wachezaji wenye majina makubwa, na wanaochezea vilabu vikubwa duniani kuliko hata hao wa Senegal!!

Nongwa iko wapi kwa timu za Bara la Afrika kutolewa? Mpira ni mchezo wa makosa. Senegal wamefanya makosa, wakaadhibiwa!

Na ufahamu fika lengo la haya mashindano ni kumtafuta Bingwa!! Sasa huyo Bingwa atapatikana vipi iwapo hakutakuwepo na mtoano?
 
Inaonekana hata nilichoandika hujasoma umeishia kwenye title tu ukaamua ukoment anyway lengo langu sio hilo la kutolewa ila umetolewaje wachezaji wakubwa kama wale wanafanya the same mistakes karibia mara tatu hawaonyeshi kama wanapambana that's was my point na si hivyo ulivyo elezea wewe.
 
Senegal walidhani wanacheza na Namibia makosa kibao wana mu expose kipa wao zinapigwa triangle pass kwenye final box lao acha wafungwe tu japo hao wakoloni wanenda kufia kwa France
 
Nimeumia sana nilimuona senego akienda mbali lakini acha hao akina foden wakakutane na kina mbape, Kuna mbungi nalisubiri south Korea vs brazili game itakuwa ya moto
 
Ndio maana mimi ningekua n uwezo ningepunguza nafasi za Afrika kutoka 5 hadi 2 tu,fainal zilizofanyika Brazil, wachezaji wa Ghana wanafanya mgomo baridi, serikali yao inakodi ndege na kupeleka dola kibao kwa wachezaji wale, kilichotokea usiku kucha kabla ya game na German, wanakesha wakihesabu dola zao,matokeo yake ni kufungwa Afrika bado sana,wachezaji wa nchi nyingine wanaona na pride kuwakilisha nchi zao world cup na wanachokipata wanatoa kwa charities, Bara la giza tutaendelea mno kuwa wasindikizaji
 
Asilimia 65% ya wachezaji ulowataja hapo ni wakaa bench kwenye klabu zao na wengine hapo viwango vyao vimeshuka sana
 
Inaonekana hata nilichoandika hujasoma umeishia kwenye title tu ukaamua ukoment anyway lengo langu sio hilo la kutolewa ila umetolewaje wachezaji wakubwa kama wale wanafanya the same mistakes karibia mara tatu hawaonyeshi kama wanapambana that's was my point na si hivyo ulivyo elezea wewe.
Halafu kuihusisha Simba na mada iliyopo hapa ni uzwazwa wa kitopolo
 
Mashabiki wa Simba mnapenda sana kulalamika na kulialia. Senegal uwezo wake umeishia pale! Sasa malalamiko ya nini?

Wametolewa Ubeligiji na Ujerumani! Timu zenye wachezaji wenye majina makubwa, na wanaochezea vilabu vikubwa duniani kuliko hata hao wa Senegal!!

Nongwa iko wapi kwa timu za Bara la Afrika kutolewa? Mpira ni mchezo wa makosa. Senegal wamefanya makosa, wakaadhibiwa!

Na ufahamu fika lengo la haya mashindano ni kumtafuta Bingwa!! Sasa huyo Bingwa atapatikana vipi iwapo hakutakuwepo na mtoano?
Tatizo sio kutolewa ila Senegal waliingia kama wanajua wametolewa kulikuwa hakuna fighting spirit ni heri wangechanganya kidogo na wachezaji wa nyumbani wangepambana wakijua tukitolewa mawakala wametuona
 
Inaonekana hata nilichoandika hujasoma umeishia kwenye title tu ukaamua ukoment anyway lengo langu sio hilo la kutolewa ila umetolewaje wachezaji wakubwa kama wale wanafanya the same mistakes karibia mara tatu hawaonyeshi kama wanapambana that's was my point na si hivyo ulivyo elezea wewe.
Nimesoma bandiko lako, mwanzo mwisho! Kabla ya kuwahukumu hao wachezaji, ungewalinganisha kwanza na wale wa Uingereza; halafu ungepata majibu sahihi.

Kiufupi uwezo wa Senegal umeishia hatua hii ya mtoano. Hivyo hakuna sababu ya kulalamika, au kuwalaumu. Maana hata Ujerumani na Ubeligiji zenye wachezaji wakubwa kuliko hao wa Senegal, zilitolewa! Hivyo hakuna cha ajabu hapo.
 
Nimesoma bandiko lako, mwanzo mwisho! Kabla ya kuwahukumu hao wachezaji, ungewalinganisha kwanza na wale wa Uingereza; halafu ungepata majibu sahihi.

Kiufupi uwezo wa Senegal umeishia hatua hii ya mtoano. Hivyo hakuna sababu ya kulalamika, au kiwalaumu. Maana hata Ujerumani na Ubeligiji zenye wachezaji wakubwa kuliko hao wa Senegal, zilitolewa! Hivyo hakuna cha ajabu hapo.
Jamaa anataka kufananisha mbigu na ardhi, wachezaji wote aliotaja, wanacheza timu za kawaida na madaraja ya chini utalinganishaje na England yenye talent za kutosha
 
Back
Top Bottom