Kwa kikosi hiki cha Simba kuna watu watakimbia

Tayari Kibu ame slide huko, assist kwa Saidoo
Screenshot_20230724-164906.png
 
Hiyo akili ya mtu amabaye hajui mpira timu inakosa balance
 
Wachezaji wanne wa mbele wote wavivu kukaba
Nikupe taarifa tu,kuwa luis,saidoo na chama wote huwa wanatumika kuvuruga mipango ya wapinzani wakisaidiwa na mkabaji mmoja kati ya mzamiru au ngoma,huku baleke akijiweka tayar kufanya mikimbio on free space.,rudia mechi ya simba na horoya au na prison pia dhidi ya wydad utaona nachoongea hapa.
 
Ngoma na Luis walikuwepo?
 
Back
Top Bottom