inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mbao mbovu,hebu panga kosi la yanga na mbao zake tuoneKwenye mbao una
Ally Salim
Kennedy Juma
Israel Mwenda
Abdallah
Chilunda
Duchu
Husseni
Kibu
Phiri
Bocco
Onana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbao mbovu,hebu panga kosi la yanga na mbao zake tuoneKwenye mbao una
Ally Salim
Kennedy Juma
Israel Mwenda
Abdallah
Chilunda
Duchu
Husseni
Kibu
Phiri
Bocco
Onana
Nadhani itakuwa simba app
Nikupe taarifa tu,kuwa luis,saidoo na chama wote huwa wanatumika kuvuruga mipango ya wapinzani wakisaidiwa na mkabaji mmoja kati ya mzamiru au ngoma,huku baleke akijiweka tayar kufanya mikimbio on free space.,rudia mechi ya simba na horoya au na prison pia dhidi ya wydad utaona nachoongea hapa.Wachezaji wanne wa mbele wote wavivu kukaba
Ngoma na Luis walikuwepo?Nikupe taarifa tu,kuwa luis,saidoo na chama wote huwa wanatumika kuvuruga mipango ya wapinzani wakisaidiwa na mkabaji mmoja kati ya mzamiru au ngoma,huku baleke akijiweka tayar kufanya mikimbio on free space.,rudia mechi ya simba na horoya au na prison pia dhidi ya wydad utaona nachoongea hapa.