MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Umerogwa siyo bureHuuu Ni ujinga kikos kizima kimejah wageni watupi kina Denis nkane watatoka lini kwa sas ujinga Sana mm Ni mwanannchi ila tutatoka hatua za Kwanza kbsa ktk michuano ya cafcl
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wakati huo huo mnamlinganisha mwenye misimu minne Chama na Aziz KUjinga sana huu kocha ana miezi miwili unamfananisha na kocha aliyekaa na wachezaji miaka miwili kweli tumelaaniwa waafrika Manchester United wanatengeneza team mwaka wa tano huu hawana hata dalili ya kuchukua ubingwa msimu ila simba kukosa ubingwa mara moja na kufungwa juzi mamluki wameshaanza kujitokeza na kuongea shombo.
Huyu mgonjwa wenu? Mtibieni basiWakati huo huo mnamlinganisha mwenye misimu minne Chama na Aziz K
MoronHuyu mgonjwa wenu? Mtibieni basiView attachment 2342974
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Akitokea wa kukutukana, basi mlete kwangu nimvunje miguu mara moja. Maana umeongea ukweli mchungu.1. Djigui Diara
2. Djuma Shaaban
3. Lomalisa Mutambala
4. Dickson Job
5. Yannick Bangala
6. Khalid Aucho
7. Bernard Morisson
8. Feisal Salum Fei Toto
9. Fiston Mayele
10. Stephan Fundi Aziz K
11. Tuisila Kisinda
Najua wana Simba SC Wenzangu hapa Jamiiforums mtanitukana sana leo ila Yanga SC Wamesajili Kimashindano na Kimkakati huku Simba SC tukiwa tumesajili Kishamba, Kipuuzi na Kienyeji.
Kazi tunayo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa na naziona kama Goli 7 au 8 za Kufungwa kwa Kikosi chetu kilichojaa Mbilikimo ( Emolo ) Watupu.
Hamia dijitali Mkurugenzi! Siku zote huwa unakuwa ni mtu wa mwisho humu jukwaani kupata taarifa.TUISILA KISINDA vipi mbona umemtaja?
Eti Mkurugenzi, huwa unapata unafuu gani wa moyo pale utumapo vitu vya aina hii humu jukwaani?Huyu mgonjwa wenu? Mtibieni basiView attachment 2342974
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ni ushauri tu kuwa mtibieni mchezaji wenu.Eti Mkurugenzi, huwa unapata unafuu gani wa moyo pake utumapo vitu vya aina hii humu jukwaani?