Kwa Kikosi hiki hatari cha Yanga SC, nisiwe mnafiki Simba SC tuna kazi na nawaona Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu na watafika mbali CAFCL

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Djigui Diara
2. Djuma Shaaban
3. Lomalisa Mutambala
4. Dickson Job
5. Yannick Bangala
6. Khalid Aucho
7. Bernard Morisson
8. Feisal Salum Fei Toto
9. Fiston Mayele
10. Stephan Fundi Aziz K
11. Tuisila Kisinda

Najua wana Simba SC Wenzangu hapa Jamiiforums mtanitukana sana leo ila Yanga SC Wamesajili Kimashindano na Kimkakati huku Simba SC tukiwa tumesajili Kishamba, Kipuuzi na Kienyeji.

Kazi tunayo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa na naziona kama Goli 7 au 8 za Kufungwa kwa Kikosi chetu kilichojaa Mbilikimo ( Emolo ) Watupu.
 
Ujinga sana huu kocha ana miezi miwili unamfananisha na kocha aliyekaa na wachezaji miaka miwili kweli tumelaaniwa waafrika Manchester United wanatengeneza team mwaka wa tano huu hawana hata dalili ya kuchukua ubingwa msimu ila simba kukosa ubingwa mara moja na kufungwa juzi mamluki wameshaanza kujitokeza na kuongea shombo.
 
Wakati huo huo mnamlinganisha mwenye misimu minne Chama na Aziz K
 
Huyu mgonjwa wenu? Mtibieni basi
1660113463286.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
1. Djigui Diara
2. Djuma Shaaban
3. Lomalisa Mutambala
4. Dickson Job
5. Yannick Bangala
6. Khalid Aucho
7. Bernard Morisson
8. Feisal Salum Fei Toto
9. Fiston Mayele
10. Stephan Fundi Aziz K
11. Tuisila Kisinda

Najua wana Simba SC Wenzangu hapa Jamiiforums mtanitukana sana leo ila Yanga SC Wamesajili Kimashindano na Kimkakati huku Simba SC tukiwa tumesajili Kishamba, Kipuuzi na Kienyeji.

Kazi tunayo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa na naziona kama Goli 7 au 8 za Kufungwa kwa Kikosi chetu kilichojaa Mbilikimo ( Emolo ) Watupu.
Akitokea wa kukutukana, basi mlete kwangu nimvunje miguu mara moja. Maana umeongea ukweli mchungu.
 
Mwambieni profesa wenu aache kuzikimbia mechi za kirafiki za timu za nje anashindwa hadi na Singida United [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom