Hahaha,hata ukileta jazba haisaidii kitu mzee baba,we kubali tu Argentina ilishakuwa maiti toka kwenye makundi.Litimu libovu ilo.Brazil ikitolewa au isipotolewa haifuti ubovu wa Wachora tatoo.
Wale wapenzi wa series ya The 100,wababe wanakwambia"Yu gonplei ste odon"-Your Fight Is Over.
Bye bye wachora tatoo.
Kiumee!!!,hahahaha,wametolewa mzee.Toka group stage walionyesha udhaifu mkubwa tu,Labda hutaki tu ku admit kwamba mwaka huu Arg- walikuwa wabovu.Argentina wamekufa kiume jomba, na kama wangeAdded time tungeongea mengine hapa. Kwaheri babaa
Niwachukie wananijua?.Hata ukiwachukia Argentina players haiwapunguzii kitu,, sisi wabongo kwa maneno mengi hatujambo.
Kiumee!!!,hahahaha,wametolewa mzee.Toka group stage walionyesha udhaifu mkubwa tu,Labda hutaki tu ku admit kwamba mwaka huu Arg- walikuwa wabovu.
Kocha na pia La Pulga aache kuingilia maamuzi ya kocha,abaki kama mchezaji tu ana awe na discipline.Sikatai mkuu.nikweli walikuwa wabovu..huyu kocha akifikisha mwezi hajafukuzwa sijui tu 😀
Kesho mashoga wanapigwa na mexico. cheka tu vizuri.
Dua la Kuku halimpati mweweKesho mashoga wanapigwa na mexico. cheka tu vizuri.
Argentina katolewa kihalali kabisa...hakuna mpira wowote aliouonyesha katika mechi zote alizocheza...huyo kocha hafai
Ile mechi ya mwisho hatua ya makundi..messi aligueka kocha..Nigeria ilimtoa jashoHafai hata kidogo mkuu. Kocha gani anajichora matatoo..tim yenye mastaa wengi na wanaoongoza kwa ufungaji bora barani ulaya!! Hafai hafai
nadhani umeona walichofanywa mexico, ife fundisho na kwa wengine watakapangwa mechi na BrazilKesho mashoga wanapigwa na mexico. cheka tu vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kama kuna watu walifunga kwa maombi jf isirejee basi ni wewe mkuu mleta uzi.😀😀
Mexico ipi ?? [emoji23][emoji23][emoji23]Kesho mashoga wanapigwa na mexico. cheka tu vizuri.
Muda umesemaHawa jamaa wanachomoka mapema sana.... na kinachowatoa ni nyota tu
teh teh teh hunterSay it again...[emoji81] [emoji81] [emoji81]
Mexico ipi ?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan wew kila uchambuzi unaochambua unatimia au unakuwa sawa kwa 100%???Wacheza Rede Kama Hawa Wanaojifanya Wachambuzi Uchwara Huku Wakiwa Hawaujui Mpira Ndiyo Wanaoifanya JF ionekane Kama Facebook!!
Moderators wakati mwengine Nyuzi Kama Hizi Za Kipumbavu Muwe Munazifuta Bhana zisitie aibu.