Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Hahaha,hata ukileta jazba haisaidii kitu mzee baba,we kubali tu Argentina ilishakuwa maiti toka kwenye makundi.Litimu libovu ilo.Brazil ikitolewa au isipotolewa haifuti ubovu wa Wachora tatoo.

Argentina wamekufa kiume jomba, na kama wangeAdded time tungeongea mengine hapa. Kwaheri babaa
 
Kiumee!!!,hahahaha,wametolewa mzee.Toka group stage walionyesha udhaifu mkubwa tu,Labda hutaki tu ku admit kwamba mwaka huu Arg- walikuwa wabovu.

Sikatai mkuu.nikweli walikuwa wabovu..huyu kocha akifikisha mwezi hajafukuzwa sijui tu 😀
 
Wacheza Rede Kama Hawa Wanaojifanya Wachambuzi Uchwara Huku Wakiwa Hawaujui Mpira Ndiyo Wanaoifanya JF ionekane Kama Facebook!!
Moderators wakati mwengine Nyuzi Kama Hizi Za Kipumbavu Muwe Munazifuta Bhana zisitie aibu.
Kwan wew kila uchambuzi unaochambua unatimia au unakuwa sawa kwa 100%???
 
Back
Top Bottom