Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Mnachukulia poa sana Spain lakini wanaweza kumzuia yeyote hapo kirahisi mno
Wazee wengi kikosi kinaenda ukingoni ,kama kile cha Germany cha Euro
But you never know ,ila ngoja niziangalie hizi team tena tuangalie nani zaidi kwa sababu kuna kikosi cha France vijana kibao...halafu wote wana kasi
 
Wazee wengi kikosi kinaenda ukingoni ,kama kile cha Germany cha Euro
Kwa mantiki hiyo hata Brazil kuna wazee Marcelo,Miranda,Silva,Paulinho,

GERMANY khedira,Kroos,Ozil,Boateng,Gomes, Neur,

Argentine ndyo 30+ kalibia wachezaji 8 wa first team

Spain Ramos,Pique,Busquet,Inesta,Silva na mchanganyiko wa damu changa kibao
 
We umepanda gari ya Spain sio [emoji23]
Ok anyway wana mpira mkubwa sna ni moja ya my favorite Team ila this time my instincts WC litaenda South America any country
 
We umepanda gari ya Spain sio [emoji23]
Ok anyway wana mpira mkubwa sna ni moja ya my favorite Team ila this time my instincts WC litaenda South America any country
Tukutane Russia ila kuna dogo jana ameingia anaitwa Rodrigo Hernandez namuona ni new edition ya busquets kabisa dogo fundi kinoma batca wamchukue
 
Mbona uingereza kila world cup huwa ni miongoni mwa team za kwanza kufuzu na huwa hafanyi vizuri world cup au hujui???? ..... unaifahamu japan??.
 
Tukutane Russia ila kuna dogo jana ameingia anaitwa Rodrigo Hernandez namuona ni new edition ya busquets kabisa dogo fundi kinoma batca wamchukue
Hivi dogo Cebalos yule walimchukua Madrid ila mpenda Barca naye walimuita National team?
 
Miaka yote Argentina amekuwa kikosi bora lakini kuchukua ndoo imekuwa ni ngumu sana, 2014 ndio ulikuwa mwaka wake higuain akawa anaruruka pale mbele, mwaka huu ni Brazil,Spain au German.
 
Kwani aguero alishakuwa na msaada kwenye timu ya taifa lini?..Hakuna hata anachokifanya kule mbele..Ingekuwa nchi nyingine ashapigwa chini siku mingi

Aha chukizako Kwa Argentina bwana.
 
Miaka yoooote anamsaada gani kwe ye team?..Au ndo u star ndo sababu anaitwa.Ingekuwa nchi zinzzojielewa ashapigwa chini siku mingi.Yaani ni garasa tu kule mbele,Icard acheze balada ya hili garasa Aguero

Kwa Lcardi tuko pamoja, lakini kusema eti aguero Ingekuwa nchi zinzzojielewa ashapigwa chini siku mingi sio kweli bwana, haswaa nakuona sio mfuatiliaji wa mpira.
 
Uwanjani mambo yanakuwaga tofauti. Usiwape uhakika hivyo, kule kila mtu anaenda kushindana plus kuna wanaotafuta timu.
 
Nani kaongezeka hapo so wote walikuwepo tournament zote zilizopita

Kama ulicheki w/c utaona baadhi hawakuwemo

  1. Dybala
  2. Lcardi
  3. Scocco
  4. Cristian Pavon sikumbuki kama alimuwepo
  5. Maidana
  6. Gaitan, Correa and Javier Pastory n.k
 
Argentina ni fungu la kukosa wale.Hadi mtu mmoja atakapotundika daluga ndipo watakaporudi kwenye Argentina ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…